- 
          Kikao cha viongozi wa nchi za Amerika mjini Lima na njama za Washington dhidi ya VenezuelaApr 15, 2018 13:28Katika kikao cha viongozi wa nchi za Amerika kilichofanyika mjini Lima nchini Peru, Michael Pence sambamba na kuashiria kwamba Marekani haitoendelea kufumbia macho matukio yanayojiri nchini Venezuela, amesisitiza juu ya kuendelezwa mashinikizo dhidi ya serikali ya nchi hiyo. 
- 
          Msimamo wa viongozi wa EU dhidi ya Russia; kufuata mdundo wa ngoma inayopigwa na UingerezaMar 24, 2018 07:13Viongozi wa nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya wameamua katika kikao chao walichofanya kwenye makao makuu ya umoja huo yaliyoko mjini Brussels kuchukua msimamo mmoja wa kuiunga mkono Uingereza dhidi ya Russia. 
- 
          Mtaalamu wa kisiasa: Marekani inasababisha machafuko AfghanistanFeb 16, 2018 04:34Mtaalamu wa masuala ya kisiasa wa nchini Afghanistan amesema kuwa, nchi za eneo hili haziwezi kuamini mipango ya Marekani nchini Afghanistan, hususan juu ya madai ya viongozi wa Washington kwamba wanapambana na ugaidi na madawa ya kulevya. 
- 
          Mkutano wa 30 wa AU, juhudi za kushinda migogoro ya AfrikaJan 29, 2018 12:10Mkutano wa 30 wa Umoja wa Afrika (AU) unafanyika katika mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa kwa kaulimbiu ya "Ushindi katika Mapambano dhidi ya Ufisadi na Mageuzi Barani Afrika". 
- 
          Wasiwasi na mashauriano ya majirani wa Libya kuhusiana na kuendelea mgogoro wa nchi hiyoDec 20, 2017 02:35Juhudi za kieneo na kimataifa zenye lengo la kuutafutia ufumbuzi mgogoro wa kisiasa wa Libya zinaendelea kushuhudiwa huku hatari ya kuenea ugaidi na ukosefu wa usalama ikizitishia pakubwa nchi za eneo la kaskazini mwa Afrika. 
- 
          Huenda Baraza la Usalama la UN likakutana kesho kujadili uamuzi wa Trump dhidi ya QudsDec 16, 2017 08:11Mwakilishi wa Palestina katika Umoja wa Mataifa amesema, kuna uwezekano kikao cha dharura cha Baraza la Usalama la umoja huo kikafanyika hapo kesho kujadili rasimu ya azimio linalohusu uamuzi uliochukuwa na Marekani dhidi ya mji wa Baitul Muqaddas. 
- 
          Palestina yaitisha mkutano wa OIC, Arab League Kujadili Tishio la Trump kwa Quds TukufuDec 04, 2017 07:16Waziri wa Mambo ya Nje wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina Riad al-Maliki ametoa wito kwa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu na Jumuiya ya Ushirikiano wa Nchi za Kiislamu OIC kuitisha mikutano ya kujadili hatima ya Quds Tukufu. 
- 
          Kikao cha tano cha Umoja wa Afrika na Umoja wa Ulaya nchini Ivory CoastNov 30, 2017 11:40Kikao cha tano cha Umoja wa Afrika (AU) na Umoja wa Ulaya (EU) kilianza hapo jana na kuendelea hadi leo katika mji mkuu wa Ivory Coast, Abidjan. 
- 
          Baraza la Usalama la UN linakutana leo kujadili masaibu ya Waislamu wa MyanmarOct 13, 2017 04:37Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa leo linakutana katika kikao kisicho rasmi kwa ajili ya kujadili mgogoro na masaibu yanayowakabili Waislamu Warohingya wa nchini Myanmar. 
- 
          Rouhani: Aliyeanza kukiuka JCPOA amechagua njia ya kutengwa; tunamsubiri Trump awaombe radhi wananchi wa IranSep 21, 2017 04:42Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa makubaliano ya JCPOA si makubaliano ya pande mbili na kwamba nchi yoyote itakayoanza kukiuka makubaliano hayo na kukiuka ahadi zake itakuwa imechagua njia ya kutengwa.