-
Mkutano wa 72 wa Baraza Kuu la UN waanza leo New York
Sep 19, 2017 16:04Mkutano wa 72 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa umefunguliwa leo mjini New York nchini Marekani kwa hotuba ilioyotolewa na Katibu Mkuu wa umoja huo António Guterres.
-
Uhajiri; ajenda kuu ya mazungumzo ya viongozi wa nchi saba za Kiafrika na Ulaya mjini Paris
Aug 29, 2017 11:52Jumatatu ya jana tarehe 28 Agosti, viongozi wa nchi saba za Kiafrika na Ulaya walikutana katika mji mkuu wa Ufaransa, Paris kwa mwaliko wa Rais Emmanuel Macron kwa ajili ya kuchunguza njia za kukabiliana na wimbi la wahajiri kutoka nchi za Afrika wanaoelekea barani Ulaya.
-
Sheikh Abdul Amir Qabalan: Viongozi wa nchi za Kiislamu waweke kando hitilafu zao
Jul 28, 2017 07:31Mkuu wa Baraza Kuu la Kiislamu la Mashia wa Lebanon ametoa wito wa kuitishwa kikao cha haraka cha viongozi wa nchi za Kiarabu na Kiislamu kwa ajili ya kutatua matatizo ya Ulimwengu wa Kiislamu.
-
Kumalizika kikao cha viongozi wa G20 mjini Hamburg chini ya anga ya hitilafu kubwa
Jul 09, 2017 11:29Kikao cha kila mwaka cha kundi la G20 kimefanyika mjini Hamburg, Ujerumani, chini ya anga ya hasira kali ya makumi ya maelfu ya wapinzani wa siasa za serikali za mataifa makubwa kuhusu maudhui tofauti kuanzia mkataba wa tabianchi hadi siasa za kibiashara na kiuchumi.
-
Mtazamo wa G20 kwa bara la Afrika
Jul 07, 2017 17:10Mkutano wa viongozi wa nchi wanachama wa G20 umeanza huko Hamburg nchini Ujerumani na miongoni mwa ajenda zake kuu ni mjadala juu ya mabadiliko ya hali ya hewa, mustakbali wa makubaliano ya kibiashara na matatizo na masuala ya bara la Afrika.
-
Mkutano wa 29 wa Umoja wa Afrika wamalizika mjini Addis Ababa Ethiopia
Jul 05, 2017 04:30Mkutano wa 29 wa kilele wa Umoja wa Afrika uliokuwa ukifanyika katika makao makuu ya umoja huo huko Addis Ababa Ethiopia, umemalizika huku wakuu wa nchi wanachama wakisisitiza juu ya kupatiwa ufumbuzi changamoto mbalimbali zinazolikabili bara hilo.
-
Uchumi na Usalama; ajenda kuu za kikao cha viongozi wa nchi za Kiafrika na za kaskazini mwa Ulaya
Jun 10, 2017 10:56Kikao cha Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi za Kiafrika na za kaskazini mwa bara Ulaya chini ya anwani "Kudhamini Ustawi Endelevu Kupitia Uwekezaji" kimefanyika Abuja mji mkuu wa Nigeria.
-
Kikao cha kwanza cha Baraza Kuu la Taasisi ya Ushirikiano wa Polisi Afrika (AFRIPOL) chafanyika Algeria
May 15, 2017 02:32Kikao cha kwanza cha Baraza Kuu la Taasisi ya Ushirikiano wa Polisi Afrika (AFRIPOL) kimefanyika katika mji mkuu wa Algeria, Algiers kwa kuhudhuriwa na makamanda wa Polisi wa nchi za Kiafrika na maafisa mbalimbali wa jumuiya za kieneo na kimataifa.
-
Kufanyika kikao cha Kamisheni ya Haki za Binadamu na Watu ya Umoja wa Afrika
May 10, 2017 12:25Kikao cha sitini cha Kamisheni ya Haki za Binadamu na Watu ya Umoja wa Afrika (ACHPR) kimeanza katika mji mkuu wa Niger, Niamey kwa kuhudhuriwa na wawakilishi zaidi ya 600 kutoka nchi mbalimbali za Afrika na za mabara mengine duniani. Kikao hicho kilianza siku ya Jumatatu ya tarehe 8 Mei na kitaendelea kwa muda wa wiki mbili hadi tarehe 22 mwezi huu.
-
Kuongezeka mivutano baina ya Marekani na Russia kuhusu Syria
Apr 29, 2017 02:30Kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kilichofanyika Alkhamisi jioni katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York, Marekani, kimejikita kwenye hali ya kibinadamu katika nchi ya Syria iliyoharibiwa vibaya na vita.