-
Nchi za magharibi mwa Afrika zakutana na kujadili namna ya kupambana na ugaidi
Apr 28, 2017 03:44Watalaamu kutoka nchi 10 za magharibi mwa Afrika wamekutana katika mji mkuu wa Togo, Lome na kujadili namna ya kupambana na tatizo la ugaidi pamoja na njia za kuboresha usalama na amani katika ndege za abiria.
-
Mawaziri wa uchumi na Fedha wa nchi za ukanda wa Franc CFA wafanya kikao Kodivaa
Apr 14, 2017 15:00Mawaziri wa Uchumi na Fedha wa nchi za Ukanda wa Franc CFA, wamekutana mjini Abidjan, Kodivaa kujadili changamoto zinazoikabili sarafu hiyo.
-
Maafisa usalama wa Afrika watahadharisha kuhusu hatari ya makundi ya kigaidi
Apr 06, 2017 14:34Maafisa wa upelelezi na vyombo vya usalama wa nchi 30 za Afrika walioshiriki katika mkutano wa amani nchini Sudan wametahadharisha kuhusu vitisho vya makundi ya kigaidi barani humo.
-
Kupambana na ugaidi, lengo la kongamano la usalama barani Afrika
Apr 04, 2017 12:35Viongozi wa masuala ya intelijensia na usalama kutoka nchi 30 za Kiafrika wanakutana mjini Khartoum, Sudan katika kikao cha siku tatu kwa lengo la kuchunguza mikakati ya kupambana na vitisho vipya na ongezeko la ugaidi barani humo.
-
Kikao cha Brussels cha mawaziri wa mambo ya nje wa NATO
Apr 02, 2017 04:47Kikao cha mawaziri wa mambo ya nje wa nchi wanachama wa shirika la kujihami la kijeshi la NATO kilifanyika siku ya Ijumaa iliyopita katika makao makuu ya shirika hilo mjini Brussels, Ubelgiji.
-
Radiamali ya viongozi wa Iraq kwa vikao vyenye kutia shaka kuhusu mustakbali wa kisiasa wa nchi hiyo
Mar 11, 2017 12:41Spika wa bunge la Iraq amesisitiza kuwa wanapinga mfumo wowote ule wa kuiweka Iraq chini ya Himaya ya ndani au nje ya nchi na pia kila mikutano na vikao vya nje ya nchi vinavyofanyika kwa lengo la kuigawa nchi hiyo.
-
Kikao cha siku tano cha Bodi ya Magavana wa IAEA chaanza mjini Vienna Austria
Mar 06, 2017 13:47Kikao cha siku tano cha Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) kimeanza leo mjini Vienna Austria.
-
Juhudi za majirani wa Libya za kuupatia ufumbuzi mgogoro wa nchi hiyo
Feb 22, 2017 07:51Katika kuendelea juhudi za kieneo kwa shabaha ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa sasa wa kisiasa wa Libya, Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa nchi jirani na nchi hiyo wamesisitiza upinzani wao dhidi ya kutumika nguvu ya aina yoyote ya kijeshi kwa ajili ya kuhitimisha mgogoro wa nchi hiyo.
-
Ombi la Burundi kwa serikali ya Tanzania la kuwakamata wapinzani wake
Feb 20, 2017 02:50Katika hali ambayo juhudi za kuondokana na mgogoro wa kisiasa nchini Burundi bado zinaendelea, serikali ya Bujumbura imeiomba Tanzania kuwatia mbaroni wapinzani wake ambao wanaosakwa na mahakama za nchi hiyo, ambao kwa hivi sasa wako kaskazini mwa Tanzania.
-
Vikao vya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Libya na changamoto zilizopo
Feb 19, 2017 02:41Juhudi za kieneo na kimataifa za kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Libya zingali zinaendelea huku kukiwa hakuna kikao chochote kati ya vilivyofanyika ambacho hadi sasa kimeweza kuupatia ufumbuzi mgogoro wa nchi hiyo. Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Tunisia, Algeria na Misri kwa mara nyingine tena wanatazamiwa kukutana huko Tunisia kujadili njia za kukomesha mgogoro wa miaka sita wa Libya.