-
Kiongozi Muadhamu amteua Naim Qassem kuwa mwakilishi wake Lebanon
Feb 05, 2025 12:29Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, katika dikrii, amemuarifisha Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawamaya ya Hizbullah, Sheikh Naim Qassem kama mwakilishi wake nchini Lebanon.
-
Imam Khamenei: Gaza imezipiga mweleka Marekani na Israel kwa Neema za Allah
Feb 02, 2025 13:05Kiongozi Muadhami wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema hakuna mtu yeyote angelifikiria mwaka jana kwamba, Wapalestina wa Ukanda wa Gaza wangeliibuka washindi dhidi ya muungano wa Marekani na Israel.
-
Kiongozi Mkuu: Muqawama ni dhihirisho la Mabaathi, na matunda yake ni kupigishwa magoti utawala wa Kizayuni Ghaza na Lebanon
Jan 28, 2025 12:41Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema: Vuguvugu la Muqawama ambalo lilianza baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu limeweza kuyaamsha mataifa ya Kiislamu na hata yasiyo ya Kiislamu kwa kutumia akili na imani na kuupigisha magoti utawala wa Kizayuni mbele ya Ghaza na Lebanon.
-
Imam Khamenei apongeza ujasiri wa wananchi wa Lebanon
Jan 27, 2025 13:21Akaunti rasmi ya mtandao wa kijamii wa X ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei imetuma ujumbe kufuatia kitendo cha kijasiri cha wananchi wa Lebanon kusini mwa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Kiongozi Muadhamu: Ni muhimu kutoa taswira ya sifa na mienendo ya mashahidi
Jan 24, 2025 04:12Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, kuna umuhimu wa kuonyesha sifa na tabia za mashahidi katika kazi za kitamaduni na sanaa.
-
Kiongozi wa Mapinduzi atoa mkono wa pole kufuatia kuuawa shahidi Mahakimu wawili wa Idara ya Mahakama
Jan 19, 2025 10:41Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ametoa salamu za rambirambi na mkono wa pole kufuatia kuuawa shahidi katika shambulio la kigaidi mahakimu wawili wa Idara ya Mahakama ya Iran.
-
Kiongozi Muadhamu atilia mkazo wajibu wa kupambana na wavamizi
Jan 09, 2025 03:21Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, amesisitizia wajibu wa kupambana na uvamizi wa Marekani nchini Iraq. Ametoa mwito huo wakati alipoonana na Waziri Mkuu wa Iraq na ujumbe alioongozana nao waliokwenda kumtembelea ofisini kwake hapa Tehran jana Jumatano.
-
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu awapongeza Wakristo kwa mnasaba wa kuzaliwa Isa Masih
Dec 26, 2024 06:54Ukurasa wa lugha ya Kiingereza wa Ofisi ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Ali Khamenei, katika mtandao wa kijamii wa X umechapisha ujumbe wake kwa mnasaba wa kumbukumbu ya kuzaliwa Nabii Isa Masih (as).
-
Kiongozi wa Mapinduzi: Wanaohuisha jina na kumbukumbu ya Mashahidi, wao pia ni Mujahidina katika njia ya Mwenyezi Mungu
Nov 29, 2024 07:48Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kwa kusema: "mimi ninawaona wale wote wanaofanya kazi ya kuhuisha kumbukumbu za Mujahidina na Mashahidi kuwa ni Mujahidina katika njia ya Mwenyezi Mungu; yaani hii yenyewe ni Jihadi katika njia ya Mwenyezi Mungu".
-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu la kuongezwa uwezo wa kijeshi wa nchi
Nov 28, 2024 13:10Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya Iran amesema, kuongeza utayari na uwezo wa kivita ndilo jukumu muhimu zaidi la vikosi vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu.