-
Kiongozi wa Mapinduzi atoa mkono wa pole kufuatia kuuawa shahidi Mahakimu wawili wa Idara ya Mahakama
Jan 19, 2025 10:41Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ametoa salamu za rambirambi na mkono wa pole kufuatia kuuawa shahidi katika shambulio la kigaidi mahakimu wawili wa Idara ya Mahakama ya Iran.
-
Kiongozi Muadhamu atilia mkazo wajibu wa kupambana na wavamizi
Jan 09, 2025 03:21Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, amesisitizia wajibu wa kupambana na uvamizi wa Marekani nchini Iraq. Ametoa mwito huo wakati alipoonana na Waziri Mkuu wa Iraq na ujumbe alioongozana nao waliokwenda kumtembelea ofisini kwake hapa Tehran jana Jumatano.
-
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu awapongeza Wakristo kwa mnasaba wa kuzaliwa Isa Masih
Dec 26, 2024 06:54Ukurasa wa lugha ya Kiingereza wa Ofisi ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Ali Khamenei, katika mtandao wa kijamii wa X umechapisha ujumbe wake kwa mnasaba wa kumbukumbu ya kuzaliwa Nabii Isa Masih (as).
-
Kiongozi wa Mapinduzi: Wanaohuisha jina na kumbukumbu ya Mashahidi, wao pia ni Mujahidina katika njia ya Mwenyezi Mungu
Nov 29, 2024 07:48Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kwa kusema: "mimi ninawaona wale wote wanaofanya kazi ya kuhuisha kumbukumbu za Mujahidina na Mashahidi kuwa ni Mujahidina katika njia ya Mwenyezi Mungu; yaani hii yenyewe ni Jihadi katika njia ya Mwenyezi Mungu".
-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu la kuongezwa uwezo wa kijeshi wa nchi
Nov 28, 2024 13:10Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya Iran amesema, kuongeza utayari na uwezo wa kivita ndilo jukumu muhimu zaidi la vikosi vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Imam Khamenei: Ushindi wa kambi ya Haki na ya Muqawama ni kitu kisichoepukika
Nov 07, 2024 11:13Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amezungumzia jinsi harakati za Muqawama wa Kiislamu za Hizbullah na HAMAS zinavyoendelea na mapambano yao kwa nguvu zote licha ya misukosuko mikubwa iliyozikumba harakati hizo na kusisitiza kuwa, kama inavyoonesha ahadi ya Allah, ushindi wa kambi ya Muqawama ni kitu cha lazima kisichoepukika.
-
Kiongozi wa Mapinduzi: Wazayuni si lolote si chochote kuweza kuisababishia madhara makubwa Hizbullah
Sep 28, 2024 10:54Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesisitiza kuwa, watenda jinai wa Kizayuni wajue kwamba wao si lolote kuweza kuusababishia madhara makubwa muundo imara wa Hizbullah ya Lebanon.
-
Mambo yanayofanana katika vita vya miaka 8 vya kulazimishwa na vya utawala wa Kizayuni dhidi ya Gaza kwa mtazamo wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
Sep 26, 2024 11:55Siku ya Jumatano asubuhi, kundi la maveterani wa vita vya kulazimishwa vya Iraq dhidi ya Iran na wanaharakati wa jihadi na muqawama lilikutana na Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika Husseiniyyah ya Imam Khomeini, katika siku ya tano ya Wiki ya Kujitetea Kutakatifu.
-
Kiongozi Muadhamu amuidhinisha rasmi Dkt Pezeshkian kuwa Rais wa Iran
Jul 28, 2024 07:48Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amemuidhinisha rasmi Masoud Pezeshkian kuwa Rais mpya wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika hafla iliyohudhuriwa na maafisa wa kitaifa na kijeshi hapa Tehran.
-
Kiongozi Muadhamu: Uungaji mkono wa ulimwengu kwa Palestina unatokana na moyo wa Mapinduzi ya Kiislamu
Jul 26, 2024 04:24Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema harakati zinazofanywa duniani siku hizi kwa manufaa ya Palestina ni matokeo ya moyo wa Mapinduzi ya Kiislamu.