Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Kiongozi Muadhamu

  • Imam Khamenei: Gaza imezipiga mweleka Marekani na Israel kwa Neema za Allah

    Imam Khamenei: Gaza imezipiga mweleka Marekani na Israel kwa Neema za Allah

    Feb 02, 2025 09:35

    Kiongozi Muadhami wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema hakuna mtu yeyote angelifikiria mwaka jana kwamba, Wapalestina wa Ukanda wa Gaza wangeliibuka washindi dhidi ya muungano wa Marekani na Israel.

  • Kiongozi Mkuu: Muqawama ni dhihirisho la Mabaathi, na matunda yake ni kupigishwa magoti utawala wa Kizayuni Ghaza na Lebanon

    Kiongozi Mkuu: Muqawama ni dhihirisho la Mabaathi, na matunda yake ni kupigishwa magoti utawala wa Kizayuni Ghaza na Lebanon

    Jan 28, 2025 09:11

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema: Vuguvugu la Muqawama ambalo lilianza baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu limeweza kuyaamsha mataifa ya Kiislamu na hata yasiyo ya Kiislamu kwa kutumia akili na imani na kuupigisha magoti utawala wa Kizayuni mbele ya Ghaza na Lebanon.

  • Imam Khamenei apongeza ujasiri wa wananchi wa Lebanon

    Imam Khamenei apongeza ujasiri wa wananchi wa Lebanon

    Jan 27, 2025 09:51

    Akaunti rasmi ya mtandao wa kijamii wa X ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei imetuma ujumbe kufuatia kitendo cha kijasiri cha wananchi wa Lebanon kusini mwa nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Kiongozi Muadhamu: Ni muhimu kutoa taswira ya sifa na mienendo ya mashahidi

    Kiongozi Muadhamu: Ni muhimu kutoa taswira ya sifa na mienendo ya mashahidi

    Jan 24, 2025 00:42

    Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, kuna umuhimu wa kuonyesha sifa na tabia za mashahidi katika kazi za kitamaduni na sanaa.

  • Kiongozi wa Mapinduzi atoa mkono wa pole kufuatia kuuawa shahidi Mahakimu wawili wa Idara ya Mahakama

    Kiongozi wa Mapinduzi atoa mkono wa pole kufuatia kuuawa shahidi Mahakimu wawili wa Idara ya Mahakama

    Jan 19, 2025 07:11

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ametoa salamu za rambirambi na mkono wa pole kufuatia kuuawa shahidi katika shambulio la kigaidi mahakimu wawili wa Idara ya Mahakama ya Iran.

  • Kiongozi Muadhamu atilia mkazo wajibu wa kupambana na wavamizi

    Kiongozi Muadhamu atilia mkazo wajibu wa kupambana na wavamizi

    Jan 08, 2025 23:51

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, amesisitizia wajibu wa kupambana na uvamizi wa Marekani nchini Iraq. Ametoa mwito huo wakati alipoonana na Waziri Mkuu wa Iraq na ujumbe alioongozana nao waliokwenda kumtembelea ofisini kwake hapa Tehran jana Jumatano.

  • Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu awapongeza Wakristo kwa mnasaba wa kuzaliwa Isa Masih

    Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu awapongeza Wakristo kwa mnasaba wa kuzaliwa Isa Masih

    Dec 26, 2024 03:24

    Ukurasa wa lugha ya Kiingereza wa Ofisi ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Ali Khamenei, katika mtandao wa kijamii wa X umechapisha ujumbe wake kwa mnasaba wa kumbukumbu ya kuzaliwa Nabii Isa Masih (as).

  • Kiongozi wa Mapinduzi: Wanaohuisha jina na kumbukumbu ya Mashahidi, wao pia ni Mujahidina katika njia ya Mwenyezi Mungu

    Kiongozi wa Mapinduzi: Wanaohuisha jina na kumbukumbu ya Mashahidi, wao pia ni Mujahidina katika njia ya Mwenyezi Mungu

    Nov 29, 2024 04:18

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kwa kusema: "mimi ninawaona wale wote wanaofanya kazi ya kuhuisha kumbukumbu za Mujahidina na Mashahidi kuwa ni Mujahidina katika njia ya Mwenyezi Mungu; yaani hii yenyewe ni Jihadi katika njia ya Mwenyezi Mungu".

  • Sisitizo la Kiongozi Muadhamu la kuongezwa uwezo wa kijeshi wa nchi

    Sisitizo la Kiongozi Muadhamu la kuongezwa uwezo wa kijeshi wa nchi

    Nov 28, 2024 09:40

    Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya Iran amesema, kuongeza utayari na uwezo wa kivita ndilo jukumu muhimu zaidi la vikosi vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu.

  • Imam Khamenei: Ushindi wa kambi ya Haki na ya Muqawama ni kitu kisichoepukika

    Imam Khamenei: Ushindi wa kambi ya Haki na ya Muqawama ni kitu kisichoepukika

    Nov 07, 2024 07:43

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amezungumzia jinsi harakati za Muqawama wa Kiislamu za Hizbullah na HAMAS zinavyoendelea na mapambano yao kwa nguvu zote licha ya misukosuko mikubwa iliyozikumba harakati hizo na kusisitiza kuwa, kama inavyoonesha ahadi ya Allah, ushindi wa kambi ya Muqawama ni kitu cha lazima kisichoepukika.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS