-
Umuhimu wa kisiasa wa ibada ya Hija katika maneno ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu
May 18, 2023 05:50Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei asubuhi ya jana Jumatano (tarehe 17 Mei) alieleza baadhi ya vipengee umuhimu vya kisiasa vya ibada ya Hija katika kikao chake na maafisa, wasimamizi na baadhi ya Wairani waliojiandikisha kushiriki ibada ya Hija mwaka huu.
-
"Ramani ya mfumo mpya wa ulimwengu"; Rai ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kuhusu kusambaratika utawala wa Kizayuni
Apr 12, 2023 10:18Akizungumzia migogoro ya ndani ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika kikao cha sikukuu ya Nowruz cha maafisa wa Jamahuri ya Kiislamu, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei alisema: "Tulisema kwamba utawala wa Kizayuni hautaona miaka 25 mingine, wao wenyewe wana haraka na wanataka kuondoka mapema na wanaendelea kusema kwamba kusambaratika kwa Israel kumekaribia na hatutafikisha umri wa miaka 80."
-
Kiongozi Muadhamu: Maadui wanataka kubadilisha utambilisho wetu
Mar 21, 2023 11:03Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema maadui wanapinga Mapinduzi ya Kiislamu, Imam Khomeini (MA), na maadhimisho ya Mapinduzi ya Kiislamu kila mwaka, sambamba na kuupinga mfumo wa Kiislamu unaotawala hapa nchini Iran; na kusisitiza kuwa, lengo la maadui ni kubadilisha utambulisho wa taifa hili na Mapinduzi ya Kiislamu, na badala yake walete demokrasia bandia ya Kimagharibi.
-
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu katika ujumbe wa Nowruz: 1402; Mwaka wa 'Udhibiti wa Mfumuko wa Bei, Ukuaji wa Uzalishaji'
Mar 21, 2023 00:00Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei, ametuma ujumbe kwa mnasaba wa kuanza mwaka mpya wa 1402 Hijria Shamsia akitoa pongezi kwa wananchi wa Iran na mataifa yote yanayosherehekea Nowruz.
-
Kiongozi Muadhamu azikosoa nchi za Waislamu kwa kufumbia macho kadhia ya Palestina
Feb 18, 2023 07:28Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amezikosoa nchi za Kiislamu kwa kutochokua hatua yoyote ya maana juu ya kadhia ya Palestina.
-
Kiongozi Muadhamu alaani vitendo vya kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu katika nchi za Ulaya
Jan 26, 2023 02:16Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa taarifa kufuatia kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu katika nchi kadhaa za Ulaya na kusisitiza kuwa: "Kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu kiwendawazimu chini ya nara ya 'uhuru wa maoni' ni ishara kuwa uistikbari unalenga Uislamu na Qur'ani Tukufu."
-
Kiongozi Muadhamu: Suala la maendeleo ya kisayansi na kuvuka mipaka ya elimu halipasi kusahaulika
Jan 20, 2023 13:51Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika makala hii ambayo huangazia baadhi ya taarifa na mafanikio katika uga wa sayansi, tiba na teknolojia nchini Iran na maeneo mengine duniani. Ni matumaini yangu kuwa mtaweza kunufaika.
-
Hizbullah yailaani Charlie Hebdo kwa kumvunjia heshima Kiongozi Muadhamu
Jan 11, 2023 07:52Harakati ya muqawama ya Hizbullah ya Lebanon imelaani vikali kitendo cha jarida la Ufaransa la Charlie Hebdo cha kumvunjia heshima Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Waislamu wa Nigeria wakosoa uchochezi wa jarida la Kifaransa
Jan 07, 2023 06:55Waislamu nchini Nigeria wamelaani kitendo cha dharau, kejeli na udhalilishaji cha jarida la Ufaransa la Charlie Hebdo cha kuchapisha vibonzo vya kumvunjia heshima Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Kiongozi Muadhamu ahudhuria maombolezo ya kumbukumbu ya kufa shahidi Bibi Fatima (SA)
Dec 26, 2022 23:24Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameshiriki kikao cha maombolezo ya kukumbuka siku aliyokufa shahidi Bibi Fatimatu-Zahra (SA), binti kipenzi wa Bwana Mtume Muhammad SAW na mke wa Amirul Muuminin Ali bin Abi Talib (AS), Imamu wa kwanza wa Waislamu wa madhehebu ya Shia.