-
Korea Kusini: Baada ya michuano ya Olimpiki, tutajikita na mazungumzo na Pyongyang
Feb 22, 2018 01:12Waziri wa Mambo ya Nje wa Korea Kusini amesema kuwa, baada ya kumalizika michuano ya sasa ya msimu wa baridi kali inayoendelea huko Pyeongchang, Korea Kusini, Seoul itajikita katika kufanya mazungumzo na Korea Kaskazini kwa ajili ya kutatua maudhui ya silaha za nyuklia za nchi hiyo.
-
Korea Kaskazini ilikataa kukutana kwa siri na viongozi wa Marekani
Feb 21, 2018 04:20Imebainika kuwa, viongozi wa Korea Kaskazini walifuta ghafla mkutano wa faragha uliotatarajiwa kufanyika kati yao na Makamu wa Rais wa Marekani, Mike Pence huko nchini Korea Kusini.
-
Korea Kaskazini: Tuhuma bandia za Marekani dhidi yetu zitaigharimu Washington
Feb 16, 2018 04:04Serikali ya Korea Kaskazini imetangaza kwamba, kitendo cha Marekani kuendeleza mashinikizo dhidi yake, kitaigharimu Washington.
-
Rais Moon Jae-in: Marekani inataka sana kufanya mazungumzo na Korea Kaskazini
Feb 15, 2018 00:33Rais Moon Jae-in wa Korea Kusini amesema kuwa, serikali ya Marekani inataka sana kufanya mazungumzo na Korea Kaskazini kwa ajili ya kuhitimisha mgogoro uliopo.
-
Korea Kaskazini: Trump na viongozi wengine wa Marekani wanaogopa silaha zetu za nyuklia
Feb 13, 2018 04:32Serikali ya Korea Kaskazini imekitaja kitendo cha marekani cha kumwalika raia mmoja wa Korea Kaskazini aliyetoroka nchi sambamba na kusafiri naye baba wa mwanafunzi mmoja aliyefariki dunia kumpeleka katika michuano ya Olimpiki ya msimu wa baridi kali huko Korea Kusini kuwa kimetokana na woga wa Washington juu ya uwezo wa silaha za nyuklia wa Pyongyang.
-
Juhudi za Korea mbili za kuwa na mazungumzo ya viongozi wa ngazi ya juu
Feb 12, 2018 08:40Katika hali ambayo mashindano ya Olimpiki ya msimu wa baridi kali mjini Pyeongchang nchini Korea Kusini inayowashirikisha pia wanamichezo wa Korea Kaskazini ikiwa bado inaendelea, maafisa wa Korea mbili wanafanya juhudi kwa ajili ya kuwakutanisha viongozi wa mataifa hayo.
-
Korea Kaskazini: Maafisa wetu walioenda Korea Kusini hawatokutana na viongozi wa US
Feb 08, 2018 11:00Wizara ya Mambo ya Nje ya Korea Kaskazini imesema kuwa, viongozi wa nchi hiyo waliofanya safari nchini Korea Kusini kwa ajili ya kushiriki katika michuano ya Olimpiki ya msimu wa baridi, kamwe hawatokutana na viongozi wa Marekani.
-
Rais wa Korea Kusini aonyesha matarajio ya kufikiwa amani kati ya Korea mbili
Feb 06, 2018 10:44Rais Moon Jae-in wa Korea Kusini, amesema kuwa kufanyika michuano ya Olimpiki ya msimu wa baridi kali ndani ya mwezi huu kwa kuishirikisha Korea Kaskazini, ni mwanzo wa ratiba ya kupatikana amani katika eneo la Rasi ya Korea.
-
Raia wanne wauliwa katika shambulio la wanamgambo Mali
Feb 05, 2018 04:15Raia wasiopungua wanne wameuawa katika shambulio linaloshukiwa kufanywa na wanamgambo wenye silaha kaskazini mwa Mali mwishoni mwa wiki. Ripoti zinasema kuwa wafanya mashambulizi kadhaa wameuawa pia katika mapigano yaliyojiri huko Talataye kaskazini mwa Mali. Mji wa Talataye unapatikana kaskazini mashariki mwa Mali ukiwa na jamii ya watu elfu 14.
-
Korea Kaskazini: Serikali ya Marekani ni mkiukaji mkubwa wa haki za binaadamu duniani
Jan 31, 2018 11:45Serikali ya Korea Kaskazini sambamba na kulaani vikali siasa za serikali ya Rais Donald Trump wa Marekani, imesema kuwa Washington ni mkiukaji mkubwa wa haki za binaadamu duniani.