-
Ukosoaji wa Korea Kaskazini dhidi ya muungano wa kijeshi wa Korea Kusini na Marekani
Jan 29, 2018 04:38Korea Kaskazini imekosoa muungano wa Marekani na Korea Kusini na hatua za kijeshi za nchi mbili hizo kwa lengo la kuisambaratisha Pyongyang na kusisitiza kwamba, suala hilo linaweza kusimamisha mazungumzo yanayoendelea kati ya Korea mbili.
-
Ujumbe wa Korea Kaskazini wazuru Korea Kusini kwa ajili ya maandalizi ya michuano
Jan 22, 2018 04:43Viongozi wa Korea Kaskazini waliwasili jana Jumapili nchini Korea Kusini chini ya ulinzi mkali, kwa ajili ya kuanza maandalizi ya wanamichezo wake kwenye michezo ijayo ya olimpiki.
-
Korea Kusini: Tafadhali Marekani msituharibie mazungumzo na Korea Kaskazini
Jan 17, 2018 04:41Waziri wa Mambo ya Nje wa Korea Kusini ameitaka Marekani kutochafua nga ya mazungumzo yake na Korea Kaskazini na hivyo kuzuia kufanyika kwa namna bora michuano ya Olimpiki ya msimu wa baridi nchini humo.
-
TV ya Japan yaomba radhi kwa kuwatisha raia kuwa Pyongyang ingeshambulia jana usiku
Jan 17, 2018 04:35Televisheni ya taifa nchini Japan NHK imewaomba radhi wananchi baada ya kutoa habari potovu kwamba Korea Kaskazini ingeshambulia nchi hiyo usiku wa jana.
-
Kim Jong-un: Vikwazo vya kimataifa dhidi ya Korea Kaskazini havina taathira yoyote
Jan 13, 2018 10:19Kiongozi wa Korea Kaskazini amesema kuwa, hata kama vikwazo vya kimataifa dhidi ya Pyongyang vitaendelea kwa karne nzima, nchi yake haitokabiliwa na matatizo makubwa na badala yake itasimama kukabiliana na vikwazo hivyo.
-
Korea Kaskazini yatabiri kwamba Trump ataporomoka kisiasa mapema sana
Jan 12, 2018 04:26Serikali ya Korea Kaskazini kupitia gazeti la chama tawala nchini humo limemtabiria Rais Donald Trump wa Marekani kuporomoka kisiasa baada ya kuchapishwa kitabu cha 'Moto na Ghadhabu Ndani ya White House ya Trump' kilichoandikwa na Michael Wolff.
-
Rais Putin: Kiongozi wa Korea Kaskazini ni mtu mwenye uwezo mkubwa wa akili
Jan 12, 2018 01:07Rais Vladmir Putin wa Russia amesema kuwa, Kim Jong-un Kiongozi wa Korea Kaskazini, ni mtu mwenye uwezo mkubwa wa akili na aliyepikika.
-
Kuanza mazungumzo kati ya Korea mbili na kufikiwa makubaliano
Jan 10, 2018 09:08Baada ya kuwasili wawakilishi wa nchi mbili za Korea Kusini na Korea Kaskazini katika kijiji cha Panmunjom maarufu kwa jina la 'kijiji cha usitishaji vita' na kilichopo katika mpaka wa mataifa hayo mawili, hatimaye mazungumzo rasmi kati ya pande mbili hizo yalianza asubuhi ya jana Jumanne.
-
Hatimaye mazungumzo kati ya Korea mbili yaanza, Pyongyang yakubali kutuma wanamichezo wake Olimpiki
Jan 09, 2018 04:24Baada ya kuwasili wawakilishi wa nchi mbili za Korea Kusini na Korea Kaskazini katika kijiji cha Panmunjom maarufu kwa jina la 'kijiji cha usitishaji vita' na kilichopo katika mpaka wa mataifa hayo, hatimaye mazungumzo rasmi kati ya pande mbili hizo yameanza leo asubuhi, huku habari za hivi punde zikisema kuwa, Pyongyang imekubali kutuma timu yake ya wanamichezo katika nchi hiyo jirani.
-
Korea Kusini: Korea Kaskazini imeafiki kufanyika mazungumzo ya jumbe za ngazi za juu
Jan 05, 2018 04:31Serikali ya Korea Kusini imetangaza kuwa Korea Kaskazini imeafiki kufanyika mazungumzo baina ya jumbe za ngazi za juu za nchi hizo mbili wiki ijayo na hivyo kuongeza matumaini ya kuhitimishwa kwa amani mzozo wa kijeshi unaoendelea kwa muda mrefu sasa, ambao unaijumuisha pia Marekani.