-
Trump amjibu kiongozi wa Korea Kaskazini: Mimi pia ninacho kitufe cha nyuklia, lakini ni kikubwa zaidi na kina nguvu zaidi
Jan 03, 2018 23:04Rais Donald Trump wa Marekani ametoa kitisho tena cha kuishambulia kijeshi Korea Kaskazini.
-
Kiongozi wa Korea Kaskazini: Kitufe cha silaha za nyuklia kiko mezani pangu; zinaifikia ardhi yote ya Marekani
Jan 01, 2018 04:29Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un amesema, nchi yake imefikia kiwango cha uwezo wa kupiga eneo zima la ardhi ya Marekani kwa silaha zake za nyuklia na kwamba "kitufe cha silaha za nyuklia" kiko juu ya meza yake.
-
Korea Kaskazini yaapa kuimarisha zana zake za nyuklia mwaka 2018
Dec 31, 2017 04:40Korea Kaskazini imeapa kufanyia majaribio zaidi ya zana zake za nyuklia mwaka 2018 huku ikisisitiza kuwa uwezo wake hauwezi kuangamizwa au kuvurugwa.
-
Jumatano tarehe 27 Disemba, 2017
Dec 26, 2017 23:10Leo ni Jumatano tarehe 8 Rabiuthani, 1439 Hijria sawa na 27 Disemba, 2017
-
Gavana wa Ohio: Matamshi ya ovyo ya Trump dhidi ya Korea Kaskazini yanachafua amani
Dec 26, 2017 11:18Gavana wa jimbo la Ohio nchini Marekani, John Kasich amekosoa vikali matamshi ya Rais Donald Trump na viongozi wengine wa nchi hiyo dhidi ya Korea Kaskazini.
-
Korea Kaskazini yasema vikwazo vipya dhidi yake ni tangazo la vita
Dec 24, 2017 04:45Korea Kaskazini imekosoa vikali hatua ya kuwekewa vikwazo vipya nchi hiyo na kusisitiza kuwa kitendo hicho ni sawa na tangazo la vita dhidi yake.
-
Marekani yatoa vitisho tena vya kuishambulia kijeshi Korea Kaskazini
Dec 16, 2017 04:28Katika kile kinachoonekana kama jaribio la kuilazimisha Korea Kaskazini iachane na mipango yake ya makombora na ya kinyuklia, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Rex Tillerson ametoa vitisho tena kwa lugha isiyo ya wazi vya kuishambulia kijeshi nchi hiyo.
-
Tillerson: Niko tayari kufanya mazungumzo na Korea ya Kaskazini
Dec 13, 2017 04:24Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani ametangaza kuwa Washington ina hamu ya kufanya mazungumzo na Pyong Yang bila ya sharti lolote kuhusu kuipokonya silaha Korea ya Kaskazini.
-
Russia yaionya Marekani kuhusu kuchochea mgogoro wa Korea
Dec 11, 2017 23:06Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ameionya Marekani kwa siasa zake za kuchochea na kushadidisha mgogoro wa Rasi ya Korea.
-
Korea Kaskazini: Trump ni 'jini mbaya wa nyuklia' na 'mvurugaji amani ya dunia'
Dec 03, 2017 03:42Korea Kaskazini imesema Rais Donald Trump wa Marekani na serikali yake "wanabembeleza vitokee vita vya nyuklia" huku Washington na muitifaki wake katika Peninsula ya Korea, yaani Korea Kusini zikijiandaa kufanya manuva makubwa ya kijeshi ya angani.