Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Korea Kaskazini

  • Jumamosi, Disemba 2, 2017

    Jumamosi, Disemba 2, 2017

    Dec 02, 2017 00:41

    Leo ni Jumamosi tarehe 13 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1439 Hijria mwafaka na tarehe Pili Disemba 2017 Miladia.

  • Kombora la Korea Kaskazini lamhamakisha Trump, sasa amwita kiongozi wa nchi hiyo 'kijibwa kigonjwa'

    Kombora la Korea Kaskazini lamhamakisha Trump, sasa amwita kiongozi wa nchi hiyo 'kijibwa kigonjwa'

    Nov 30, 2017 04:36

    Rais Donald Trump wa Marekani amekurupuka tena na kutumia lugha ya matusi kwa kumwita kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un 'kijibwa kigonjwa' kufuatia jaribio la kombora la balestiki la masafa marefu zaidi lililofanywa na nchi hiyo ambalo lina uwezo wa kulenga sehemu yoyote ya ardhi ya Marekani.

  • Korea Kaskazini yavurumisha kombora la balestiki kuelekea Japan

    Korea Kaskazini yavurumisha kombora la balestiki kuelekea Japan

    Nov 29, 2017 04:45

    Korea Kaskazini imefyatua kombora jengine la balestiki lililopaa juu ya kisiwa cha Japan na linaloweza kulenga sehemu yoyote ya ardhi ya Marekani, huku ikisisitiza kuwa sasa ina uwezo kamili wa kinyuklia.

  • Cuba yalaani chuki za Marekani dhidi ya Korea Kaskazini

    Cuba yalaani chuki za Marekani dhidi ya Korea Kaskazini

    Nov 23, 2017 03:38

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Cuba amelaani vitisho na misimamo ya chuki na ya kuzusha fujo vinavyofanywa na Marekani dhidi ya Korea Kaskazini.

  • Korea Kaskazini: Tutafanya mazungumzo kuhusu nyuklia ikiwa Marekani itakomesha chokochoko zake dhidi yetu

    Korea Kaskazini: Tutafanya mazungumzo kuhusu nyuklia ikiwa Marekani itakomesha chokochoko zake dhidi yetu

    Nov 19, 2017 00:58

    Serikali ya Korea Kaskazini imetoa sharti la kufanya mazungumzo kuhusiana na suala la nyuklia ambalo ni Marekani kuacha chokochoko zake dhidi ya nchi hiyo.

  • Korea Kusini yamuonya Trump juu ya kuishambulia Korea Kaskazini bila ya ridhaa yake

    Korea Kusini yamuonya Trump juu ya kuishambulia Korea Kaskazini bila ya ridhaa yake

    Nov 16, 2017 04:50

    Mkuu wa chama tawala nchini Korea Kusini, amesema kuwa haiwezekani Rais Donald Trump wa Marekani kutumia chaguo la kijeshi dhidi ya Korea Kaskazini bila ridhaa ya nchi yake.

  • Korea Kaskazini: Haitowezekana kuachana na silaha za nyuklia tulizozipata kwa tabu

    Korea Kaskazini: Haitowezekana kuachana na silaha za nyuklia tulizozipata kwa tabu

    Nov 15, 2017 01:13

    Serikali ya Korea Kaskazini imetangaza kwamba, ni suala lisilowezekana kuachana na uwezo wa silaha zake za nyuklia uliopatikana kwa tabu, kwa sababu tu ya mashinikizo na vikwazo dhidi yake.

  • Korea Kaskazini: Safari ya Trump mashariki mwa Asia haina faida yoyote

    Korea Kaskazini: Safari ya Trump mashariki mwa Asia haina faida yoyote

    Nov 09, 2017 11:22

    Serikali ya Korea Kaskazini imetoa radiamali kufuatia vitisho vipya vya Rais Donald Trump wa Marekani katika safari yake ya kutembelea eneo la mashariki mwa Asia.

  • Baraza la Senate la Marekani laweka vikwazo vikali vya benki dhidi ya Korea Kaskazini

    Baraza la Senate la Marekani laweka vikwazo vikali vya benki dhidi ya Korea Kaskazini

    Nov 08, 2017 04:20

    Kamati ya masuala ya benki ya baraza la Senate la Marekani, usiku wa kuamkia leo Jumatano imepasisha muswada wa kuiwekea Korea Kaskazini vikwazo vikali zaidi vya benki.

  • Korea Kaskazini: Trump mzee kichaa, lini ataanzisha vita vya nyuklia?

    Korea Kaskazini: Trump mzee kichaa, lini ataanzisha vita vya nyuklia?

    Nov 07, 2017 11:10

    Gazeti la chama tawala nchini Korea Kaskazini la Roodong Simon limemtaja Rais Donald Trump wa Marekani kuwa ni 'mzee kichaa'.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS