Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Korea Kaskazini

  • Marekani yatoa vitisho kwa waungaji mkono wa Korea Kaskazini

    Marekani yatoa vitisho kwa waungaji mkono wa Korea Kaskazini

    May 17, 2017 03:05

    Mwakilishi wa Kudumu wa Marekani katika Umoja wa Mataifa ametoa vitisho vikali kwa nchi zinazoiunga mkono wa Korea Kaskazini.

  • Korea Kusini: Pyongyang imejiandaa kulifanyia majaribio kombora jipya la nyuklia

    Korea Kusini: Pyongyang imejiandaa kulifanyia majaribio kombora jipya la nyuklia

    May 16, 2017 23:33

    Waziri wa Ulinzi nchini Korea Kusini ametangaza kuwa, hivi sasa Korea Kaskazini inajiandaa kwa ajili ya kufanya majaribio mapya ya kombora la nyuklia.

  • Korea Kaskazini: Kombora tulilolifanyia majaribio, linaweza kubeba kichwa cha nyuklia nzito

    Korea Kaskazini: Kombora tulilolifanyia majaribio, linaweza kubeba kichwa cha nyuklia nzito

    May 16, 2017 03:52

    Serikali ya Korea Kaskazini imetangaza kuwa, kombora la balestiki ililolifanyia majaribio siku ya Jumapili iliyopita, linaweza kubeba kichwa cha nyuklia nzito.

  • Trump atishia vikwazo vikali zaidi baada ya Korea Kaskazini kufanyia majaribio kombora jipya

    Trump atishia vikwazo vikali zaidi baada ya Korea Kaskazini kufanyia majaribio kombora jipya

    May 14, 2017 03:21

    Rais Donald Trump wa Marekani ametishia kuiwekea vikwazo vikali zaidi Korea Kaskazini, baada ya Pyongyang kufyatua kifaa kinachoaminika kuwa kombora lake la balestiki kuelekea upande wa Japan.

  • Jaribio la Kutaka Kumuua Kiongozi wa Korea Kaskazini ni tangazo la vita

    Jaribio la Kutaka Kumuua Kiongozi wa Korea Kaskazini ni tangazo la vita

    May 12, 2017 02:50

    Korea Kaskazini imelaani tena jaribio la kutaka kumuua kiongozi wake ambalo limetekelezwa na mashirika ya kijasusi ya Marekani na Korea Kusini na kulitaja jaribio hilo kuwa sawa na tangazo la vita.

  • Rais wa Korea Kusini yupo tayari kuitembelea nchi jirani ya Korea Kaskazini

    Rais wa Korea Kusini yupo tayari kuitembelea nchi jirani ya Korea Kaskazini

    May 10, 2017 23:01

    Rais mpya wa Korea Kusini Moon Jae-in amefungua urais wake kwa kutangaza kuwa yuko tayari kuitembelea Korea Kaskazini iwapo mazingira yataruhu ikiwa ni katika kutekeleza ahadi za uchaguzi za kufanya mazungumzo na nchi hiyo hasimu.

  • China yaipa sharti Marekani kumuuzulu kamanda wake, mkabala na kuishinikiza Pyongyang

    China yaipa sharti Marekani kumuuzulu kamanda wake, mkabala na kuishinikiza Pyongyang

    May 08, 2017 10:41

    China imempa sharti Rais Donald Trump wa Marekani la kumuuzulu kamanda wa vikosi vya nchi hiyo vilivyoko Korea Kusini mkabala na Beijing kuishinikiza Korea Kaskazini.

  • Korea Kaskazini yawataka raia wa Korea Kusini kususia uchaguzi ujao wa rais

    Korea Kaskazini yawataka raia wa Korea Kusini kususia uchaguzi ujao wa rais

    May 07, 2017 23:35

    Gazeti la serikali ya Korea Kaskazini la Rodong Sinmun limewataka raia wa nchi jirani ya Korea Kusini kususia uchaguzi ujao wa rais wa nchi hiyo kwa lengo la kuwaondoa madarakani watawala wenye mahusiano na Marekani.

  • Korea Kaskazini: CIA inapanga kumuua kiongozi wetu kwa silaha za kemikali

    Korea Kaskazini: CIA inapanga kumuua kiongozi wetu kwa silaha za kemikali

    May 05, 2017 23:45

    Pyongyang imesema Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) linapanga njama ya kumuua kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un kwa kushirikiana na Idara ya Intelijensia ya Korea Kusini.

  • China yaijibu Korea Kaskazini baada ya malalamiko ya Pyongyang dhidi yake

    China yaijibu Korea Kaskazini baada ya malalamiko ya Pyongyang dhidi yake

    May 05, 2017 02:44

    China imetoa jibu na radiamali kwa ripoti kali iliyotolewa na Shirika rasmi la Habari la Korea Kaskazini dhidi yake na kueleza kuwa siasa zake kuhusiana na Pyongyang daima zimekuwa za insafu na usawa na zisizo za nia mbaya.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS