Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Korea Kaskazini

  • Onyo la Korea Kaskazini kwa China kuhusiana na silaha za nyuklia na makombora ya Pyongyang

    Onyo la Korea Kaskazini kwa China kuhusiana na silaha za nyuklia na makombora ya Pyongyang

    May 05, 2017 02:43

    Alkhamisi ya jana serikali ya Korea Kaskazini, sambamba na kukosoa vikali siasa za Uchina kuhusiana na shughuli za nyuklia na makombora yake, ilisema kuwa, kuwa na mahusiano ya kirafiki na nchi hiyo jirani haihitaji kuipigia magoti Beijing.

  • Onyo la Korea Kaskazini kwa Marekani juu ya uwezekano wa kutokea vita vya nyuklia baina yao

    Onyo la Korea Kaskazini kwa Marekani juu ya uwezekano wa kutokea vita vya nyuklia baina yao

    May 03, 2017 03:06

    Hatua ya Marekani ya kurusha ndege zake zenye uwezo mkubwa wa kushambulia kwa mabomu aina ya Supersonic B-1B Lancer kwenye anga ya Peninsula ya Korea, imeibua radiamali kali kutoka kwa Korea Kaskazini na kuifanya nchi hiyo kutangaza kuwa, hatua ya kujionyesha na utumiaji mabavu ya Washington katika eneo hilo, inakaribisha kutokea kwa vita ya nyuklia.

  • Korea Kaskazini: Ikiwa meli za  US zitatukaribia, tutazigeuza kuwa vyuma chakavu

    Korea Kaskazini: Ikiwa meli za US zitatukaribia, tutazigeuza kuwa vyuma chakavu

    May 01, 2017 09:44

    Kwa mara nyingine serikali ya Korea Kaskazini imeitahadharisha Marekani kwamba, ikiwa meli za kivita za nchi hiyo zitaendelea kuwepo katika Peninsula ya Korea, basi itaziangamiza silaha za nyuklia za Washington na kuzigeuka kuwa vyuma chakavu.

  • HAMAS yaishukuru Korea Kaskazini, Wazayuni walaumiana kwa kuichokoza Pyongyang

    HAMAS yaishukuru Korea Kaskazini, Wazayuni walaumiana kwa kuichokoza Pyongyang

    May 01, 2017 03:02

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imetoa tamko na kuipongeza Korea Kaskazini kwa msimamo wake thabiti dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Korea Kaskazini yasema itaiadhibu vikali Israel

    Korea Kaskazini yasema itaiadhibu vikali Israel

    Apr 30, 2017 02:51

    Korea Kaskazini imesema itauadhibu vikali utawala haramu wa Israel kwa kuthubutu kuuvunjia heshima uongozi wa nchi hiyo.

  • Korea Kusini: Tupo tayari kuzungumza na Korea Kaskazini kutatua tofauti

    Korea Kusini: Tupo tayari kuzungumza na Korea Kaskazini kutatua tofauti

    Apr 27, 2017 11:27

    Serikali ya Korea Kusini imetangaza azma yake ya kufanya mazungumzo na Korea Kaskazini kwa ajili ya kutatua tofauti zilizopo baina yao.

  • Kupamba moto tena mikwaruzano kati ya Korea Kaskazini na Marekani

    Kupamba moto tena mikwaruzano kati ya Korea Kaskazini na Marekani

    Apr 25, 2017 22:02

    Sambamba na kuwadia maadhimisho ya mwaka wa 85 wa kuasisiwa jeshi la Korea Kaskazini na kukaribia kutimia siku 100 tangu Donald Trump atawazwe kuwa rais wa Marekani mikwaruzano ya kisiasa baina ya Pyongyang na Washington imeshtadi na kuzidi kupamba moto.

  • Korea Kaskazini: Marekani ima ijisalimishe kwa njia ya kisiasa au ichague vita

    Korea Kaskazini: Marekani ima ijisalimishe kwa njia ya kisiasa au ichague vita

    Apr 25, 2017 10:31

    Katika sherehe za mwaka wa 85 wa kuundwa jeshi la Korea Kaskazini serikali ya Pyongyang imetoa onyo kali kwa Marekani na kuikumbusha kuwa, inatakiwa ichague moja ya njia mbili, ima ijisalimishe kisiasa au ichague njia ya kijeshi.

  • Korea Kaskazini imewatia nguvuni raia 3 wa Marekani

    Korea Kaskazini imewatia nguvuni raia 3 wa Marekani

    Apr 23, 2017 22:56

    Katika hali ambayo taharuki ingali imetanda katika Peninsula ya Korea, serikali ya Korea Kaskazini imemtia mbaroni raia wa Marekani, na kupelekea idadi ya Wamarekani wanaozuiliwa na serikali ya Pyongyang hadi sasa kufikia watatu.

  • Indhari ya Korea Kaskazini kwa China kuhusiana na vikwazo vya kiuchumi dhidi yake

    Indhari ya Korea Kaskazini kwa China kuhusiana na vikwazo vya kiuchumi dhidi yake

    Apr 23, 2017 08:13

    Serikali ya Korea Kaskazini imeionya China kwamba, ikiwa itaendeleza vikwazo vya kiuchumi dhidi yake, basi uhusiano wa nchi hizo mbili utapata madhara makubwa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS