Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Korea Kaskazini

  • Russia yatuma jeshi lenye silaha nzito katika mpaka wake na Korea Kaskazini, hali yazidi kuwa tata

    Russia yatuma jeshi lenye silaha nzito katika mpaka wake na Korea Kaskazini, hali yazidi kuwa tata

    Apr 20, 2017 23:40

    Gazeti la Telegraph la nchini Uingereza limeandika kuwa, Russia imetuma wanajeshi wake wenye silaha nzito katika mpaka wake na Korea Kaskazini kufuatia kuongezeka uwezekano wa Marekani kuivamia kijeshi Korea Kaskazini.

  • Waziri Mkuu wa Korea Kusini, atoa amri kulitaka jeshi la nchi hiyo lijiweke tayari kukabiliana na Pyongyang

    Waziri Mkuu wa Korea Kusini, atoa amri kulitaka jeshi la nchi hiyo lijiweke tayari kukabiliana na Pyongyang

    Apr 20, 2017 13:40

    Waziri Mkuu wa Korea Kusini anayekaimu nafasi ya rais, amelitaka jeshi na vikosi vya nchi hiyo kujiweka tayari kutokana na kile alichokisema kuwa ni kushadidi kwa harakati za kijeshi za Pyongyang.

  • Majaribio mapya ya makombora ya Korea ya Kaskazini; dhihirisho la nguvu mbele ya Marekani

    Majaribio mapya ya makombora ya Korea ya Kaskazini; dhihirisho la nguvu mbele ya Marekani

    Apr 15, 2017 22:20

    Korea ya Kaskazini leo asubuhi kwa mara nyingine tena imeyafanyia majaribio makombora yake ya balistiki sambamba na kuanza hafla ya kumbukumbu ya mwaka wa 150 wa kuzaliwa mwasisi wa taifa hilo Kim Il Sung.

  • Korea Kaskazini yaonyesha kombora jipya la balestiki la SLBMs

    Korea Kaskazini yaonyesha kombora jipya la balestiki la SLBMs

    Apr 15, 2017 03:19

    Katika hali ambayo taharuki imetanda katika Peninsula ya Korea , serikali ya Korea Kaskazini imezindua kombora lake jipya la balestiki la nyambizi (SLBMs).

  • Korea Kusini nayo yafanyia majaribio kombora jipya la balestiki la Hyunmoo ili kuilenga Pyongyang

    Korea Kusini nayo yafanyia majaribio kombora jipya la balestiki la Hyunmoo ili kuilenga Pyongyang

    Apr 06, 2017 03:45

    Wizara ya Ulinzi ya Korea Kusini imetangaza leo kwamba imelifanyia majaribio kombora jipya la balestiki la kilometa 800 kwa mafanikio makubwa.

  • Korea Kaskazini yarusha kombora la balestiki katika Bahari ya Japan

    Korea Kaskazini yarusha kombora la balestiki katika Bahari ya Japan

    Apr 05, 2017 02:59

    Korea Kaskazini imevurumisha kombora la balestiki katika Bahari ya Japan, siku chache baada ya nchi hiyo kuapa kulipiza kisasi juu ya vikwazo vipya dhidi yake.

  • US yakiri kuwa Korea Kaskazini ina uwezo wa kuua mamilioni ya Wamarekani

    US yakiri kuwa Korea Kaskazini ina uwezo wa kuua mamilioni ya Wamarekani

    Mar 30, 2017 11:15

    Maafisa wa ngazi za juu wa idara za usalama na itelinjensia za Washington wamekiri kuwa Korea Kaskazini ina uwezo wa kuwaangamiza mamilioni ya Wamarekani iwapo itafanya shambulizi moja la silaha za nyuklia dhidi ya Marekani.

  • Korea mbili zatunishiana misuli, kila moja yaitishia nyingine kwa jibu kali dhidi yake

    Korea mbili zatunishiana misuli, kila moja yaitishia nyingine kwa jibu kali dhidi yake

    Mar 27, 2017 23:25

    Korea Kaskazini imetangaza kwamba, imejiandaa kufanya operesheni za kujihami dhidi ya mipango ya kijeshi ya askari wa Marekani na Korea Kusini katika eneo la Peninsula ya Korea.

  • Korea Kaskazini: Kitendo cha Japan cha kurusha satalaiti ya ujasusi angani, ni hujuma dhidi yetu

    Korea Kaskazini: Kitendo cha Japan cha kurusha satalaiti ya ujasusi angani, ni hujuma dhidi yetu

    Mar 23, 2017 11:25

    Serikali ya Korea Kaskazini imelaani hatua ya Japan ya kurusha angani satalaiti ya ujasusi na kuitaja kuwa ni hujuma dhidi yake.

  • Marekani: Chaguo la kuishambulia kijeshi Korea Kaskazini lipo mezani

    Marekani: Chaguo la kuishambulia kijeshi Korea Kaskazini lipo mezani

    Mar 18, 2017 03:48

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amesema Washington haitavumilia tena chokochoko za Korea Kaskazini na ikibidi, US itashambulia kijeshi Pyongyang.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS