Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Korea Kaskazini

  • Jeshi la Korea Kusini: Tumejiweka tayari na hujuma yoyote baada ya kuondolewa madarakani Rais Park Geun-hye

    Jeshi la Korea Kusini: Tumejiweka tayari na hujuma yoyote baada ya kuondolewa madarakani Rais Park Geun-hye

    Mar 10, 2017 09:50

    Jeshi la Korea Kusini limetangaza utayarifu wake kutokana na hujuma yoyote tarajiwa ya Korea Kaskazini, baada ya kuondolewa madarakani Rais Park Geun-hye wa nchi hiyo.

  • Mahakama yamuondoa madarakani rais wa Korea Kusini

    Mahakama yamuondoa madarakani rais wa Korea Kusini

    Mar 10, 2017 04:21

    Mahakama ya Katiba ya Korea Kusini imeafiki uamuzi wa bunge wa kumuondoa madarakani rais wa taifa hilo Park Geun-hye.

  • Japan: Ni lazima tujiandae kukabiliana na mashambulizi tarajiwa ya Korea Kaskazini

    Japan: Ni lazima tujiandae kukabiliana na mashambulizi tarajiwa ya Korea Kaskazini

    Mar 09, 2017 04:28

    Waziri wa zamani wa Ulinzi Japan ametaka kuimarishwa uwezo wa kijeshi kwa ajili ya kukabiliana na mashambulizi tarajiwa ya Korea Kaskazini.

  • Marekani, Korea 2 na Japan ziko katika ncha ya kupigana

    Marekani, Korea 2 na Japan ziko katika ncha ya kupigana

    Mar 07, 2017 03:47

    Washington imeanza kutuma nchini Korea Kusini mfumo wa ulinzi wa makombora wa THAAD, baada ya Korea Kaskazini kusema kuwa, jaribio lake la hivi punde la makombora ni maandalizi kwa ajili ya kuzishambulia kambi za kijeshi za Marekani nchini Japan.

  • Marekani: Tupo tayari kutumia silaha za nyuklia dhidi ya Korea Kaskazini, kuwalinda marafiki zetu

    Marekani: Tupo tayari kutumia silaha za nyuklia dhidi ya Korea Kaskazini, kuwalinda marafiki zetu

    Feb 17, 2017 01:04

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amesema kuwa, ikiwa italazimu, Washington ipo tayari kutumia silaha za nyuklia dhidi ya Korea Kaskazini, kwa ajili ya kuwalinda marafiki zake wa Japan na Korea Kusini.

  • Korea Kaskazini yaonya dhidi ya chokochoko za serikali mpya ya Trump

    Korea Kaskazini yaonya dhidi ya chokochoko za serikali mpya ya Trump

    Feb 02, 2017 10:27

    Serikali ya Korea Kaskazini imetoa onyo kali juu ya chokochoko za Marekani katika serikali mpya ya Rais Donald Trump wa nchi hiyo.

  • Korea Kaskazini yaitaka UN kuunda tume ya kuchunguza maazimio yaliyopitishwa dhidi yake

    Korea Kaskazini yaitaka UN kuunda tume ya kuchunguza maazimio yaliyopitishwa dhidi yake

    Jan 12, 2017 11:07

    Korea Kaskazini imetoa pendekezo kwa Umoja wa Mataifa la kuundwa tume ya kimataifa itakayowajumuisha wataalamu wa sheria kwa ajili ya kuchunguza maazimio yaliyopitishwa na Baraza la Usalama katika kuhalalisha vikwazo dhidi yake kwa tuhuma za kumiliki silaha za nyuklia au makombora ya balestiki.

  • Korea Kaskazini yamwandikia barua katibu mkuu mpya kushitakia vikwazo

    Korea Kaskazini yamwandikia barua katibu mkuu mpya kushitakia vikwazo

    Jan 07, 2017 12:18

    Serikali ya Korea Kaskazini imemwandikia barua António Guterres, Katibu Mkuu Mpya wa Umoja wa Mataifa ikilalamikia hatua ya kuongezwa vikwazo vya umoja huo dhidi yake.

  • Korea Kusini yaunda kikosi maalumu kwa ajili ya kumuua kiongozi wa Korea Kaskazini

    Korea Kusini yaunda kikosi maalumu kwa ajili ya kumuua kiongozi wa Korea Kaskazini

    Jan 06, 2017 01:18

    Viongozi wa Korea Kusini wameanzisha kikosi maalumu cha kijeshi chenye wadhifa wa kumuua kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un, endapo kutajiri vita baina ya nchi mbili.

  • Jumanne, Disemba 27, 2016

    Jumanne, Disemba 27, 2016

    Dec 27, 2016 04:50

    Leo ni Jumanne tarehe 27 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1438 Hijria sawa na Disemba 27, 2016 Milaadia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS