-
Korea kusini kuimarisha mfumo wake wa kiulinzi kwa ajili ya kukabiliana na Korea Kaskazini
Nov 27, 2016 23:18Vyombo vya serikali ya Korea Kusini vimetangaza kuwa, kufuatia kushadidi vitisho vya silaha za nyuklia na makombora ya Korea Kaskazini, Seoul haina njia nyingine ghairi ya kuimarisha mfumo wake wa kiulinzi.
-
Korea Kusini: Korea Kaskazini ikitushambulia tutajibu kwa nguvu zetu zote
Nov 23, 2016 01:28Waziri wa Ulinzi wa Korea Kusini ametoa indhari kali kwa nchi jirani ya Korea Kaskazini akiitaka isithubutu kufanya hujuma yoyote dhidi yake.
-
Alkhamisi, 27 Oktoba, 2016
Oct 27, 2016 02:16Leo ni Alkhamisi tarehe 25 Muharram 1438 Hijria sawa na Oktoba 27, 2016.
-
Korea Kaskazini: Tumejiandaa kutoa jibu kali kwa chokochoko za Marekani
Sep 16, 2016 03:12Waziri wa Mambo ya Nje wa Korea Kaskazini amesema kuwa, nchi yake imejiandaa kutoa jibu kali kwa vitisho vya Marekani.
-
Siasa za nyuso mbili za Marekani na majaribio ya nyuklia ya Korea Kaskazini
Sep 11, 2016 01:37Rais Barack Obama wa Marekani ameonesha kukasirishwa sana na hatua ya Korea Kaskazini ya kufanya majaribio ya tano ya nyuklia, huku viongozi wa Pyongyang wakisema kuwa, wamefanya majaribio hayo ili kujibu siasa za kiuadui za Marekani na waitifaki wake dhidi ya Korea Kaskazini.
-
Korea Kusini na Marekani zaweka mikakati ya kukabiliana na Korea Kaskazini
Aug 29, 2016 09:35Marekani na Korea Kusini zimetangaza kuanzisha mkakati mpya kwa ajili ya kukabiliana na majiribio ya makombora ya Korea Kaskazini.
-
Ijumaa, 08 Julai 2016
Jul 08, 2016 01:39Miaka 22 iliyopita katika siku inayosadifiana na hii ya leo, Kim Il Sung kiongozi wa zamani wa Korea ya kaskazini na Katibu Mkuu wa chama cha Kikomonisti cha nchi hiyo alifariki dunia. Kim Il Sung alizaliwa mwaka 1912. Mwaka 1945, Sung alirejea na jeshi la nchi hiyo upande wa kaskazini mwa nchi akiwa kama kamanda.
-
Uganda kusitisha ushirikiano wa kijeshi na Korea Kaskazini
May 30, 2016 00:04Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema karibuni hivi nchi yake itasitisha ushirikiano wa kijeshi na kiusalama na Korea Kaskazini.
-
Askari wa UN: Tutaendelea kusimamia amani nchini Mali
May 21, 2016 03:16Mkuu wa kikosi cha askari wa Umoja wa Mataifa wa kusimamia amani nchini Mali, amesisitizia azma ya askari hao ya kuendeleza operesheni za kudumisha usalama na amani nchini humo.
-
DRC: Madai kuwa tumepokea silaha kutoka Korea Kaskazini ni kichekesho
May 16, 2016 03:20Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imepuuzilia mbali ripoti ya siri ya Umoja wa Mataifa iliyodai kuwa nchi hiyo imekuwa ikipokea silaha kutoka Korea Kaskazini.