-
Marekani: Kiongozi wa Korea Kaskazini hana hamu yoyote ya kukutana na Biden
May 20, 2022 03:05Jake Sullivan, mshauri wa usalama wa taifa wa serikali ya Marekani amesema, Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un ambaye hapo kabla aliwahi kukutana na kufanya mazungumzo na aliyekuwa rais wa Marekani Donald Trump, hajaonyesha hamu yoyote ya kukutana na rais wa sasa wa nchi hiyo Joe Biden.
-
Korea Kaskazini yafanyia jaribio kombora kabla ya Biden kuwasili Seoul
May 07, 2022 23:57Korea Kaskazini imefanya jaribio la kombora la pili la balistiki siku chache tu kabla ya Rais Joe Biden wa Marekani kutembelea nchi jirani ya Korea Kusini.
-
Korea Kaskazini yafanyia majaribio kombora lake kubwa kabisa la balestiki linalovuka mabara
Mar 24, 2022 08:49Korea Kusini na Japan zimesema, Korea Kaskazini imefanyia majaribio kile kinachoshukiwa kuwa ni kombora lake kubwa kabisa la balestiki linalovuka mabara.
-
Marekani yaingiwa na kiwewe baada ya Pyongyang kuvurumisha kombora la balestiki
Jan 05, 2022 23:19Marekani imeingiwa na kiwewe baada ya jeshi la Korea Kaskazini kuvurumisha baharini kombora jingine la balestiki.
-
Jumamosi, 20 Novemba 2021
Nov 20, 2021 01:16Leo ni Jumamosi tarehe 14 Mfunguo Saba Rabiu Thani 1443 Hijria sawa na tarehe 20 Novemba 2021 Miladia.
-
Korea Kaskazini yavurumisha baharini kombora jingine la balestiki
Oct 19, 2021 09:54Kwa mara nyingine tena, jeshi la Korea Kaskazini limevurumisha baharini kombora jingine la balestiki katika pwani ya mashariki ya nchi hiyo.
-
Marekani: Tuko tayari kufanya mazungumzo na Korea Kaskazini bila ya masharti yoyote
Oct 05, 2021 07:15Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani amesema kuwa, nchi yake iko tayari kufanya mazungumzo na Korea Kaskazini bila ya masharti yoyote yale.
-
Korea Kaskazini yasema imefanyia majaribio kombora jipya la balestiki la Hypersonic
Sep 29, 2021 09:30Korea Kaskazini imetangaza kuwa imefanikiwa kurusha kombora jengine la balestiki aina ya hypersonic liitwalo Hwasong-8.
-
Korea Kaskazini yazionya US, UK na Australia kuhusu makubaliano yao ya nyambizi ya nyuklia
Sep 20, 2021 05:44Korea Kaskazini imesema makubaliano ya nyuklia yaliyofikiwa hivi karibuni baina ya nchi tatu za Marekani, Uingereza na Australia ni hatua hatari sana.
-
Alkhamisi, Septemba 9, 2021
Sep 08, 2021 22:04Leo ni tarehe Alkhamisi mwezi pili Mfunguo Tano Safar 1443 Hijria sawa na Septemba 9 mwaka 2021 Milaadia.