Pars Today
Kufuatia kuongezeka mvutano kati ya Korea mbili, Korea Kaskazini imelipua ofisi ya masuala ya kiutamaduni iliyoanzishwa kwa ajili ya kuimarisha mawasiliano ya nchi mbili katika eneo la viwanda la Kaye Sung.
Kumeibuka hofu kubwa ya vita baina ya Korea Kaskaizni na Korea Kusini baada ya wakuu wa Pyongyang kulipua kwa hasira ofisi ya mawasiliano baina ya Korea mbili iliyopo katika eneo la Kaesong.
Kumeibuka hofu kubwa ya vita baina ya Korea Kaskaizni na Korea kusini baada ya wakuu wa Pyongyang kulipua kwa hasira ofisi ya mawasiliano baina ya Korea mbili iliyopo katika eneo la Kaesong.
Kwa mara nyingine Robert O'Brien, Mshauri wa Usalama wa Taifa wa Marekani ameitaka Korea Kaskazini ifumbie macho silaha za nyuklia kwa kile alichokiita kuwa ni kupewa fursa za kiuchumi.
Kikao cha kuchunguza ongezeko la uwezo wa kijeshi na silaha za nyuklia za Korea Kaskazini, kilifanyika Jumapili ya jana kwa kuhudhuriwa na Kim Jong-un, Kiongozi wa nchi hiyo mjini Pyongyang.
Shirika la Serikali ya Korea Kaskazini limeripoti habari ya kuonekana hadharani kiongozi wa nchi hiyo.
Wizara ya Umoja ya Korea Kusini ambayo ina jjukumu la kuratibu uhusiano wa Korea mbili, imesema kuwa habari zinazohusu ugonjwa wa Kim Jong-un, Kiongozi wa Korea Kaskazini ni za kubuni tu na zisizo na msingi.
Vyombo vya habari vya Korea Kaskazini vimechapisha barua ya kiongozi wa nchi hiyo Kim Jong Un ambayo iliandikwa na kutiwa saini na kiongozi huyo Jumatatu.
Serikali ya Korea Kaskazini imekosoa kitendo cha kuendelea hatua za uhasama za Marekani dhidi yake.
Kwa mara nyingine tena, Korea Kaskazini mapema leo Jumapili imevurumisha makombora mawili ya balestiki ya masafa mafupi kuelekea baharini, huko pwani ya mashariki ya nchi hiyo.