Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Korea Kaskazini

  • Kim Jong-un, Kiongozi wa Korea Kaskazini aonekana hadharani

    Kim Jong-un, Kiongozi wa Korea Kaskazini aonekana hadharani

    May 02, 2020 11:12

    Shirika la Serikali ya Korea Kaskazini limeripoti habari ya kuonekana hadharani kiongozi wa nchi hiyo.

  • Korea Kusini yasema habari za ugonjwa wa Kim Jong-un ni za kubuni tu

    Korea Kusini yasema habari za ugonjwa wa Kim Jong-un ni za kubuni tu

    Apr 30, 2020 02:37

    Wizara ya Umoja ya Korea Kusini ambayo ina jjukumu la kuratibu uhusiano wa Korea mbili, imesema kuwa habari zinazohusu ugonjwa wa Kim Jong-un, Kiongozi wa Korea Kaskazini ni za kubuni tu na zisizo na msingi.

  • Huku kukiwa na tetesi za kifo chake, kiongozi wa Korea Kaskazini amtumia barua rais wa Afrika Kusini

    Huku kukiwa na tetesi za kifo chake, kiongozi wa Korea Kaskazini amtumia barua rais wa Afrika Kusini

    Apr 28, 2020 10:44

    Vyombo vya habari vya Korea Kaskazini vimechapisha barua ya kiongozi wa nchi hiyo Kim Jong Un ambayo iliandikwa na kutiwa saini na kiongozi huyo Jumatatu.

  • Korea Kaskazini yakosoa hatua za uhasama za Marekani dhidi ya Pyongyang

    Korea Kaskazini yakosoa hatua za uhasama za Marekani dhidi ya Pyongyang

    Mar 31, 2020 06:01

    Serikali ya Korea Kaskazini imekosoa kitendo cha kuendelea hatua za uhasama za Marekani dhidi yake.

  • Korea Kaskazini yavurumisha tena makombora ya balestiki ya masafa mafupi

    Korea Kaskazini yavurumisha tena makombora ya balestiki ya masafa mafupi

    Mar 29, 2020 08:03

    Kwa mara nyingine tena, Korea Kaskazini mapema leo Jumapili imevurumisha makombora mawili ya balestiki ya masafa mafupi kuelekea baharini, huko pwani ya mashariki ya nchi hiyo.

  • Jeshi la Korea Kaskazini laanzisha tena shughuli zake baada ya kuzisimamisha kwa mwezi mmoja

    Jeshi la Korea Kaskazini laanzisha tena shughuli zake baada ya kuzisimamisha kwa mwezi mmoja

    Mar 18, 2020 03:08

    Kwa mara nyingine tena jeshi la Korea Kaskazini limeanzisha shughuli zake baada ya kuzisimamisha kwa siku 30 kufuatia maambukizi ya virusi vya Corona.

  • Baadhi ya mabalozi na wanadiplomasia wahamishwa kutoka Korea Kaskazini

    Baadhi ya mabalozi na wanadiplomasia wahamishwa kutoka Korea Kaskazini

    Mar 10, 2020 02:37

    Sambamba na kushadidi hatua za serikali ya Korea Kaskazini za kukabiliana na virusi vya Corona, ndege maalumu ya nchi hiyo imewaondoa makumi ya wanadiplomasia na raia wa kigeni kutoka nchi hiyo na kuwapeleka katika uwanja wa ndege wa mashariki mwa Russia.

  • Korea Kaskazini yafanya jaribio jengine la makombora

    Korea Kaskazini yafanya jaribio jengine la makombora

    Mar 02, 2020 07:32

    Wizara ya Ulinzi ya Korea Kusini imetangaza kuwa Korea Kaskazini imefanya jairbio jengine la makombora.

  • Korea Kaskazini yatoa radiamali yake kufuatia kuuawa kigaidi na Marekani Jenerali Soleimani

    Korea Kaskazini yatoa radiamali yake kufuatia kuuawa kigaidi na Marekani Jenerali Soleimani

    Jan 06, 2020 13:15

    Vyombo vya habari nchini Korea Kaskazini vimetoa radiamali kufuatia kuuawa shahidi na askari magaidi wa Marekani Luteni Jenerali Qassem Soleimani na kuitaja Washington kuwa muhusika mkuu wa ongezeko la mizozo katika eneo la Asia Magharibi.

  • Sisitizo la Russia la kupata funzo Korea Kaskazini kupitia ukiukaji ahadi wa Marekani katika makubaliano ya JCPOA

    Sisitizo la Russia la kupata funzo Korea Kaskazini kupitia ukiukaji ahadi wa Marekani katika makubaliano ya JCPOA

    Jan 03, 2020 06:03

    Katika kipindi cha utawala wa Rais Donald Trump, Marekani imetanguliza mbele siasa za vitisho sambamba na mazungumzo mkabala na Korea Kaskazini.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS