-
Mfumo wa makombora wa THAD, sababu ya mgawanyiko kisiasa nchini Korea Kusini
Jan 06, 2017 01:19Safari ya ujumbe wa chama cha Demokrasia, ambacho ni chama kikuu cha upinzani nchini Korea Kusini huko Uchina, imebainisha kwamba, kadhia ya mfumo wa makombora wa THAD katika siasa za ndani na nje za Korea Kusini, inaweza kuwa na taathira muhimu katika mwenendo wa mabadiliko yajayo ndani ya taifa hilo.
-
Korea Kusini yaunda kikosi maalumu kwa ajili ya kumuua kiongozi wa Korea Kaskazini
Jan 06, 2017 01:18Viongozi wa Korea Kusini wameanzisha kikosi maalumu cha kijeshi chenye wadhifa wa kumuua kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un, endapo kutajiri vita baina ya nchi mbili.
-
Jumanne, Disemba 27, 2016
Dec 27, 2016 04:50Leo ni Jumanne tarehe 27 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1438 Hijria sawa na Disemba 27, 2016 Milaadia.
-
China yaonya kuhusu makubaliano ya kijeshi kati ya Japan na Korea Kusini
Nov 25, 2016 01:26Wizara ya Mambo ya Nje ya China imetoa tahadhari juu ya makubaliano ya kijeshi baina ya Japan na Korea Kusini.
-
Korea Kusini: Korea Kaskazini ikitushambulia tutajibu kwa nguvu zetu zote
Nov 23, 2016 01:28Waziri wa Ulinzi wa Korea Kusini ametoa indhari kali kwa nchi jirani ya Korea Kaskazini akiitaka isithubutu kufanya hujuma yoyote dhidi yake.
-
Korea Kusini yapasisha pendekezo la kununua ndege za kivita 40 kuikabili K/Kaskazini
Nov 18, 2016 11:25Wizara ya Ulinzi ya Korea Kusini imetangaza kuwa, imepasisha pendekezo la kununua ndege za kivita 40 aina ya F 35 kutoka Marekani kwa ajili ya kukabiliana na vitisho vya jirani yake Korea Kaskazini.
-
Duru ya pili ya maandamano makubwa ya raia wa Korea Kusini dhidi ya Rais Park Geun-hye
Nov 12, 2016 10:52Maelfu ya raia wa Korea Kusini wameanzisha duru ya pili ya maandamano makubwa dhidi ya Rais dhidi ya Rais Park Geun-hye wa nchi hiyo.
-
Marekani na Korea Kusini zaanza luteka ya pamoja ya kijeshi Peninsula ya Korea
Nov 08, 2016 12:08Marekani na Korea Kusini zimeanza kufanya maneva ya pamoja ya kijeshi kaskazini mwa Korea Kusini.
-
Maelfu ya raia wa Korea Kusini waandamana kumtaka rais wa nchi hiyo ajiuzulu
Nov 05, 2016 23:17Makumi ya maelfu ya raia wa Korea Kusini Jumamosi ya jana walifanya maandamano makubwa mjini Seoul, mji mkuu wa nchi hiyo wakimtaka Rais Park Geun-hye wa nchi hiyo kuondoka madarakani mara moja.
-
China: US isitishe mara moja mpango wake wa kuweka ngao ya makombora Korea Kusini
Nov 05, 2016 09:30Kwa mara nyingine serikali ya China imeonyesha upinzani wake kwa hatua ya Marekani ya kutaka kuweka ngao ya kujilinda kwa makombora aina ya Thaad nchini Korea Kusini.