-
Radiamali ya Iran kwa kuungwa mkono kundi la kigaidi la MKO katika Kongresi ya Marekani
Feb 13, 2023 09:44Hussein Amir-Abdollahia, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiiislamu ya Iran Jumamosi ya juzi tarehe 11 Februari alitoa radiamali kuhusiana na azimio la Kongresi ya Marekani linaloliunga mkono kundi la kigaidi la Munafiqin (MKO).
-
Wanachama wa kundi la kigaidi la MKO watiwa mbaroni Albania kwa magendo ya binadamu na mihadarati
Dec 04, 2021 23:33Gazeti moja linalochapishwa nchini Albania limeripoti kuwa wanachama kadhaa wa kundi la MKO wamekamatwa nchini humo kwa kufanya magendo ya binadamu, madawa ya kulevya na kutakatisha pesa.
-
Jumatatu tarehe 6 Septemba 2021
Sep 05, 2021 23:20Leo ni Jumatatu tarehe 28 Muharram 1443 Hijria sawa na na tarehe 6 Septemba 2021.
-
Jumamosi, Septemba 5, 2020
Sep 04, 2020 21:57Leo ni Jumamosi tarehe 16 Mfunguo Nne Muharram 1442 Hijria, ambayo inasadifiana na tarehe 5 Septemba 2020.
-
Iran: Magaidi wa MKO wanapewa hifadhi na US na EU licha ya kuua maelfu ya Wairani
Aug 30, 2020 06:32Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imesema nchi za Ulaya na Marekani zinawapa hifadhi wanachama wa kundi la kigaidi la Munafikin (MKO) licha ya genge hilo kuua kikatili maelfu ya Wairani.
-
Iran: Ulaya na Marekani ni washirika wa kundi la kigaidi la MKO katika mauaji ya Wairani wasio na hatia
Jun 28, 2020 23:10Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imesema nchi za Ulaya na Marekani ni washirika wa kundi la kigaidi la Munafikin (MKO) katika mauaji ya watu wa Iran.
-
Mwanadiplomasia wa Marekani: Uhusiano wa Bolton na genge la Munafiqina (MKO) ni kashfa kubwa
Jun 09, 2019 09:17Mwanadiplomasia wa Kimarekani amesema kuwa, uhusiano uliopo wa Mshauri wa Usalama wa Taifa wa Marekani na kundi la kigaidi la Munafiqina (MKO) ni kashfa kubwa iliyofichikana katika ufisadi uliokita mizizi ndani ya serikali ya Trump.
-
Njama za kikundi cha Munafiqeen na uchochezi dhidi ya Iran
Oct 11, 2018 08:13Kukamatwa mwanadiplomasia wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Ubelgiji kwa tuhuma bandia za kushiriki kwake katika mpango wa kushambuliwa kikundi cha kigaidi cha Munafigeen katika mojawapo ya viunga vya Paris, mji mkuu wa Ufaransa, ni uchochezi mpya dhidi ya Iran.
-
Mshikamano wa Saudia na magaidi wa MKO, fitna nyingine za Aal Saud Mashariki ya Kati
Sep 20, 2018 03:08Kiongozi mmoja mkubwa wa zamani wa genge la kigaidi la MKO lenye historia ya kufanya ugaidi, mauaji na jinai kubwa dhidi ya wananchi na viongozi wa Iran amefichua namna Saudi Arabia inavyolisaidia kifedha genge hilo.
-
Aliyekuwa gaidi wa MKO afichua namna Saudia ilivyolipa kundi hilo tani za dhahabu
Sep 19, 2018 02:36Aliyekuwa mwanachama wa ngazi za juu wa kundi la kigaidi la Munafiqeen (MKO) amefichua kuwa Saudi Arabia ililipa genge hilo dhahabu na vito vingine vya thamani kubwa vilivyokuwa na thamani ya Dola milioni 200.