Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Kundi la Kigaidi la Munafikina

  • Alkhamisi tarehe 6 Septemba 2018

    Alkhamisi tarehe 6 Septemba 2018

    Sep 06, 2018 03:01

    Leo ni Alkhamisi tarehe 25 Dhulhija 1439 Hijria sawa na tarehe 6 Septemba 2018.

  • Mshauri wa Trump akiri kwamba Marekani na kundi la Munafiqin wamehusika katika ghasia nchini Iran

    Mshauri wa Trump akiri kwamba Marekani na kundi la Munafiqin wamehusika katika ghasia nchini Iran

    Jul 03, 2018 07:59

    Rudy Giuliani, mmoja wa watu wa karibu wa Rais Donald Trump wa Marekani na pia Mkuu wa Timu yake ya Kisheria, amekiri kushirikiana kundi la Munafiqin na serikali ya Marekani katika kuibua ghasia za hivi karibuni nchini Iran.

  • Iran yailalamikia Ufaransa kwa kuwahami na kuwafadhili magaidi wa MKO

    Iran yailalamikia Ufaransa kwa kuwahami na kuwafadhili magaidi wa MKO

    Jun 21, 2018 03:11

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran katika masuala ya kisiasa ameilalamikia serikali ya Ufaransa kwa kuwafadhili, kuwahami na kuwaruhusu magaidi wa MKO kufanya shughuli zao nchini humo licha ya magaidi hao kuwa na historia chafu ya kufanya ugaidi ndani na nje ya Iran.

  • Iran yasambaratisha mtandao wa magaidi wa Munafiqina (MKO) magharibi mwa nchi

    Iran yasambaratisha mtandao wa magaidi wa Munafiqina (MKO) magharibi mwa nchi

    Jan 06, 2018 03:01

    Idara ya Usalama katika mkoa wa Lorestan magharibi mwa Iran imetangaza habari ya kusambaratishwa mtandao wa kundi la kigaidi la Munafiqina (MKO) katika mji wa Borujerd kufuatia oparesheni maalamu ya maafisa usalama wa Iran.

  • Jumatano tarehe 6 Septemba, 2017

    Jumatano tarehe 6 Septemba, 2017

    Sep 06, 2017 03:35

    Leo ni Jumatano tarehe 15 Dhilhija 1438 Hijria sawa na 6 Septemba 2017.

  • Msemaji wa Serikali ya Iran: Kundi la MKO limefanya jinai kubwa zaidi ya Daesh

    Msemaji wa Serikali ya Iran: Kundi la MKO limefanya jinai kubwa zaidi ya Daesh

    Jul 04, 2017 14:02

    Msemaji wa serikali ya Iran amesema kuwa, kundi la kigaidi la MKO limefanya jinai kubwa zaidi ya kundi la kigaidi la Daesh na kwamba, mkutano uliofanyika Ufaransa wa kundi hilo unapingwa na kulaaniwa na watu wa Iran.

  • Maafisa wa serikali ya Marekani wakiri kula rushwa ya kundi la kigaidi la MKO

    Maafisa wa serikali ya Marekani wakiri kula rushwa ya kundi la kigaidi la MKO

    Feb 07, 2017 14:35

    Maafisa wa serikali ya Marekani wamekiri kuwa, walipokea mlungula kutoka kwa kundi la kigaidi la MKO.

  • Iran yaitaka EU kuacha kulikingia kifua kundi la kigaidi la MKO

    Iran yaitaka EU kuacha kulikingia kifua kundi la kigaidi la MKO

    Nov 24, 2016 03:02

    Katibu wa Tume ya Haki za Binadanamu ya Idara ya Mahakama za Iran amemwandikia barua Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya akitaka kuondolewa kinga kwa kundi la kigaidi la Munafiqiin (MKO) katika nchi za Magharibi.

  • Iran yamkosoa Mahmoud Abbas kwa kufanya kikao na MKO

    Iran yamkosoa Mahmoud Abbas kwa kufanya kikao na MKO

    Aug 02, 2016 07:27

    Katibu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemkosoa vikali Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina kwa kufanya mazungumzo na mkuu wa kundi la kigaidi la Munafikina (MKO).

  • Iran yamuita balozi wa Misri baada ya wabunge wa nchi hiyo kushiriki kikao cha magaidi wa MKO

    Iran yamuita balozi wa Misri baada ya wabunge wa nchi hiyo kushiriki kikao cha magaidi wa MKO

    Jul 14, 2016 15:53

    Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran imemuita Balozi wa Misri mjini Tehran kulalamikia hatua ya wabunge wa nchi hiyo ya kushiriki katika mkutano wa kundi la kigaidi la Munafikina (MKO) uliofanyika Paris mji mkuu wa Ufaransa, hivi karibuni.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS