-
Ali Shamkhani: Ugaidi ni kikwazo kikubwa katika njia ya ustawi wa nchi za Kiislamu
Sep 25, 2018 02:25Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, hatari ya ugaidi na mizizi yake ni miongoni mwa fikra za kitakfiri zinazoenezwa na baadhi ya nchi za Kiislamu katika Mashariki ya Kati ambazo zimelitumbukiza eneo lote hili katika mgogoro na kuwa kikwazo kikubwa katika njia ya ustawi na maendeleo ya nchi za Kiislamu.
-
Wanachama 10 wa al-Shabaab wauawa na jeshi la Kenya, Lamu
Sep 24, 2018 13:57Askari wa Kenya wamewaangamiza wanamgambo 10 wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab katika kaunti ya Lamu.
-
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ataka kuungwa mkono wahanga wa ugaidi duniani
Aug 21, 2018 02:46Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kuungwa mkono wahanga wa vitendo vya ugaidi duniani pamoja na familia zao.
-
Meja Jenerali Ghulam Ali Rashid: Tishio lolote litajibiwa vikali
Jul 03, 2018 03:08Kamanda wa kamandi kuu ya Khatamul Anbiya (S.A.W) amesema kuwa vikosi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran viko imara na vimejiandaa kukabiliana na tishio lolote la makundi ya kigaidi na kitakfiri kuliko ilivyokuwa huko nyuma na kusisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itatoa jibu kali kwa tishio lolote dhidi yake.
-
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu: Bunge litunge sheria za kukabiliana na ugaidi, utakatishaji fedha
Jun 20, 2018 16:34Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge) ambayo imebalehe na kukomaa inapaswa kutenda kwa kujitegemea katika kutunga sheria za masuala kama kupambana na ugaidi na mapambano dhidi ya utakatishaji wa fedha chafu.
-
Kurejeshwa usalama kamili Damascus na katika viunga vyake; mafanikio mengine ya Syria dhidi ya magaidi
May 23, 2018 06:15Kamandi Kuu ya jeshi na vikosi vya ulinzi vya Syria imetangaza kuwa baada ya kufurushwa magaidi wote katika eneo la Hajarul-Aswad na kwenye kambi ya Yarmuk, amani na usalama kamili umerejea katika mji mkuu wa nchi hiyo Damascus na vitongoji vyake.
-
Kamandi Kuu ya jeshi la Syria: Amani na usalama kamili umerejea katika mji mkuu Damascus
May 22, 2018 07:54Kamandi Kuu ya jeshi na vikosi vya ulinzi vya Syria imetangaza kuwa baada ya kufurushwa magaidi wote katika eneo la Hajarul-Aswad na kwenye kambi ya Yarmuk, amani na usalama umerejea kikamilifu katika mji mkuu wa nchi hiyo Damascus na viunga vyake.
-
Makumi ya magaidi wa al-Shabaab wauawa eneo la Hiran, Somalia
Apr 18, 2018 07:34Kwa akali wanachama 30 wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab lenye mfungamano na mtandao wa al-Qaeda wameuawa katika operesheni kali iliyotekelezwa na Jeshi la Taifa la Somalia katika eneo la Hiran jana Jumanne.
-
Rais wa Niger ataka kustawishwa uchumi na ushirikiano wa pamoja dhidi ya ugaidi
Feb 02, 2018 03:50Rais wa Niger amesisitiza juu ya udharura wa kustawishwa uchumi na wakati huo huo kuweko ushirikiano wa pamoja katika kupambana na ugaidi ambao ni tishio kwa amani na usalama wa dunia.
-
Iran na Russia ni nembo ya ushirikiano katika vita dhidi ya ugaidi
Dec 01, 2017 07:28Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema ushirikiano baina ya nchi hii na Russia katika vita dhidi ya ugaidi ni nembo ya aina yake na mfano wa kuigwa kote duniani.