-
Ripota wa UN: Matatizo ya ukosefu wa amani Nigeria yapewe mazingatio
Sep 03, 2019 03:37Ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa matatizo ya kiusalama ya Nigeria yametengeneza mgogoro ambao unahitajia kupewa mazingatio haraka iwezekanavyo, la sivyo utasababisha ukosefu wa usalama katika nchi nyingine za Kiafrika.
-
Waziri wa Ulinzi wa Iran: Marekani ndio chanzo hasa cha kukosekana amani katika eneo
Aug 08, 2019 08:01Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, muungano wa kijeshi unaotaka kuundwa na Marekani wa kisingizio cha kudhamini usalama wa vyombo vya majini ndio utakaosababisha kuvurugika zaidi amani na usalama katika eneo.
-
Malengo na umuhimu wa safari ya Amir wa Kuwait nchini Iraq
Jun 21, 2019 02:40Swabah al-Ahmad al-Jabir as-Swabah Amir wa Kuwait siku ya Jumatano alifanya safari nchini Iraq ambapo alilakiwa na kufanya mazungumzo na Rais Barham Swaleh wa nchini hiyo.
-
Jumatano tarehe 19 Juni 2019
Jun 19, 2019 00:30Leo ni Jumatano tarehe 15 Shawwal 1440 Hijria sawa na Juni 19 mwaka 2019
-
Iran yataka nchi za Ghuba ya Uajemi ziwe macho kuhusu vitisho vya Marekani
May 27, 2019 10:16Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema: "Sera za Marekani za vikwazo dhidi ya Iran zimehatarisha amani na usalama katika eneo hili zima na hivyo nchi za eneo zinapaswa kuwa macho kuhusu vitisho hivyo."
-
Kuwait yataka Israel itimuliwe katika Jumuiya ya Mabunge
May 04, 2019 10:31Spika wa Bunge la Kuwait amesisitiza juu ya kuendelezwa juhudi za kutimuliwa utawala haramu wa Israel kutoka katika Jumuiya ya Mabunge kutokana na jinai zake unazozitenda.
-
Mfalme wa Kuwait: Nchi yangu haitosita kuchukua hatua za kuitetea Quds na Palestina
Apr 23, 2019 23:45Mfalme Sabah Al-Ahmad Al-Jaber Al-Sabah wa Kuwait sambamba na kusisitiza kuwa nchi yake inalitambua suala la Palestina kuwa kadhia kuu ya ulimwengu wa Kiislamu, amesema kuwa Kuwait haitosita kuchukua hatua yoyote katika kuitetea Quds na matukufu yake.
-
Amir wa Kuwait: Tutafanya kila tuwezalo kuilinda na kuitetea Quds
Apr 23, 2019 03:08Amir wa Kuwait Sheikh Ahmad Al-Jaber Al-Sabah amesisitiza msimamo wa nchi yake katika kuiunga mkono na kuitetea Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Kuwait: Utawala haramu wa Kizayuni umejengeka juu ya ukiukaji wa sheria za kimataifa
Apr 02, 2019 09:03Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Kuwait amesema kuwa, siasa za utawala haramu wa Kizayuni (Israel) zimejengeka juu ya ukiukaji wa sheria za kimataifa na kuongeza kuwa, ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni ni ishara tosha ya ukiukaji huo wa sheria.
-
Kuwait yasusia mkutano wa Bahrain kutokana na kushiriki Wazayuni
Mar 31, 2019 22:23Kufuatia ushiriki wa idadi kadhaa ya viongozi wa Kizayuni katika mkutano uliopewa jina la 'Ujasiriamali' nchini Bahrain, Waziri wa Viwanda wa Kuwait ametangaza kususia mkutano huo.