Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Kuwait

  • Kuwait: Utawala haramu wa Kizayuni umejengeka juu ya ukiukaji wa sheria za kimataifa

    Kuwait: Utawala haramu wa Kizayuni umejengeka juu ya ukiukaji wa sheria za kimataifa

    Apr 02, 2019 09:03

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Kuwait amesema kuwa, siasa za utawala haramu wa Kizayuni (Israel) zimejengeka juu ya ukiukaji wa sheria za kimataifa na kuongeza kuwa, ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni ni ishara tosha ya ukiukaji huo wa sheria.

  • Kuwait yasusia mkutano wa Bahrain kutokana na kushiriki Wazayuni

    Kuwait yasusia mkutano wa Bahrain kutokana na kushiriki Wazayuni

    Mar 31, 2019 22:23

    Kufuatia ushiriki wa idadi kadhaa ya viongozi wa Kizayuni katika mkutano uliopewa jina la 'Ujasiriamali' nchini Bahrain, Waziri wa Viwanda wa Kuwait ametangaza kususia mkutano huo.

  • Spika wa Bunge la Kuwait ataka kupigwa marufuku kuanzishwa uhusiano wa kawaida na Israel

    Spika wa Bunge la Kuwait ataka kupigwa marufuku kuanzishwa uhusiano wa kawaida na Israel

    Mar 04, 2019 04:37

    Spika wa Bunge la Kuwait ametoa wito wa kupigwa marufuku suala la kuanzishwa uhusiano wa kawaida na Israel na kuzuiwa kuweko uhusiano wa kisiasa na utawala huo ghasibu unaotenda jinai kila leo dhidi ya Wapalestina.

  • Spika wa Bunge Kuwait alaani ushiriki wa nchi yake katika mkutano wa Warsaw, Poland

    Spika wa Bunge Kuwait alaani ushiriki wa nchi yake katika mkutano wa Warsaw, Poland

    Feb 19, 2019 00:25

    Spika wa Bunge la Kuwait amekosoa vikali ushiriki wa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Nchi hiyo katika mkutano wa Warsaw, Poland ambao ulihudhuriwa pia na Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa Utawala Haramu wa Israel.

  • Nchi za Kiarabu zaendelea kuipigia magoti Syria, Kuwait pia kurejesha ubalozi Damascus

    Nchi za Kiarabu zaendelea kuipigia magoti Syria, Kuwait pia kurejesha ubalozi Damascus

    Dec 29, 2018 04:38

    Serikali ya Kuwait imefuata nyayo za Umoja wa Falme za Kiarabu na Bahrain na kufungua tena ubalozi wake katika mji mkuu wa Syria, Damascus, baada ya kupita zaidi ya miaka saba tangu ulipoanza mgogoro wa ndani katika nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Malengo ya safari ya kwanza nje ya nchi ya Rais wa Iraq huko Kuwait

    Malengo ya safari ya kwanza nje ya nchi ya Rais wa Iraq huko Kuwait

    Nov 12, 2018 09:09

    Barham Salih, Rais mpya wa Iraq jana Jumapili aliwasili nchini Kuwait ikiwa ni kituo chake cha kwanza katika safari yake ya kieneo ya kuzitembelea nchi kadhaa za Ghuba ya Uajemi.

  • Mgogoro wa mafuta kati ya Saudia na Kuwait waongezeka

    Mgogoro wa mafuta kati ya Saudia na Kuwait waongezeka

    Nov 07, 2018 03:44

    Mkuu wa Shirika la Mafuta la Kuwait, Nizar Mohammed Al-Adsani ameelezea habari ya kuendelea mogoro kati ya nchi hiyo na Saudi Arabia kuhusiana na maeneo yenye utajiri wa mafuta ya Wafra na Al-Khafji.

  • Wabunge wa Kuwait wapinga nchi yao kuwa na uhusiano na utawala haramu wa Israel

    Wabunge wa Kuwait wapinga nchi yao kuwa na uhusiano na utawala haramu wa Israel

    Oct 29, 2018 01:06

    Wawakilishi wa Bunge la Kuwait wamepinga vikali hatua yoyote ya nchi yao ya kutaka kuwa na uhusiano na utawala haramu wa Israel.

  • Wakuwait wakasirishwa na vitisho vya mwanamfalme wa Saudia dhidi ya nchi yao

    Wakuwait wakasirishwa na vitisho vya mwanamfalme wa Saudia dhidi ya nchi yao

    Oct 15, 2018 01:22

    Vitisho vya mwanamfalme mmoja wa Saudia juu ya uwezekano wa kutekelezwa operesheni aliyoiita kwa jina la 'Dhoruba ya Maamuzi' nchini Kuwait, vimeibua hasira ya Wakuwait.

  • Jumanne, Juni 19, 2018

    Jumanne, Juni 19, 2018

    Jun 18, 2018 21:50

    Leo ni Jumanne tarehe 5 Mfunguo Mosi Shawwal 1439 Hijria sawa na 19 Juni, 2018 Milaadia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS