Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Kuwait

  • Kuwait: Ni muhali eneo la Mashariki ya Kati kupata usalama bila kuihusisha Iran

    Kuwait: Ni muhali eneo la Mashariki ya Kati kupata usalama bila kuihusisha Iran

    Mar 24, 2018 21:50

    Waziri wa Ulinzi wa Kuwait amesema kuwa, ni muhali eneo la Mashariki ya Kati kupata usalama bila kuishirikisha na kuiweka karibu Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Iraq.

  • Jumapili tarehe 25, Februari, 2018.

    Jumapili tarehe 25, Februari, 2018.

    Feb 25, 2018 01:00

    Leo ni Jumapili tarehe nane Jamadi th-Thani 1439 Hijiria, sawa na tarehe 25 Februari mwaka 2018 Miladia.

  • Qassemi: Al Jubeir anabwabwaja, anataka kuzungumza kwa niaba ya Wairaqi

    Qassemi: Al Jubeir anabwabwaja, anataka kuzungumza kwa niaba ya Wairaqi

    Feb 15, 2018 12:49

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amejibu madai yaliyotolewa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia katika kikao cha kuijenga upya Iraq dhidi ya Iran na kusema: Adel al-Jubeir amesahau kwamba hawezi kuzungumza kwa niaba ya serikali ya Iraq na wananchi wa nchi hiyo.

  • Nchi 70 kushiriki katika mkutano wa kuijenga upya Iraq

    Nchi 70 kushiriki katika mkutano wa kuijenga upya Iraq

    Feb 05, 2018 01:08

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Iraq imetangaza kuwa, nchi 70 na mamia ya mashirika makubwa na wewekezaji wa kimataifa wametangaza nia yao ya kushiriki katika mkutano wa kuijenga upya Iraq unaotarajiwa kufanyika Kuwait baadaye mwezi huu.

  • Kumalizika ghafla kikao cha Kuwait na kudhihirika zaidi mwenendo wa kusambaratika Baraza la Ghuba ya Uajemi

    Kumalizika ghafla kikao cha Kuwait na kudhihirika zaidi mwenendo wa kusambaratika Baraza la Ghuba ya Uajemi

    Dec 06, 2017 22:09

    Kikao cha 38 cha viongozi wa Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi kimefanyika hivi karibuni bila ya kuhudhiriwa na viongozi wengi wa nchi wananchama wa baraza hilo, kutokana na hitilafu nyingi zilizopo.

  • Mkutano wa Kuwait, hatua nyingine ya kutengwa Israel na Saudia

    Mkutano wa Kuwait, hatua nyingine ya kutengwa Israel na Saudia

    Nov 19, 2017 23:17

    Mjumbe wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas), Izzat al Rashq amesema kuwa, mkutano wa kukabiliana na hatua za koboresha uhusiano wa nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi na utawala wa Kizayuni wa Israel uliofanyika Kuwait ni hatua muhimu katika njia ya kuitenga na kuiabisha zaidi Israel na washirika wake.

  • Tathmini ya Kuwait kuhusu mwenendo wa kusambaratika Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi

    Tathmini ya Kuwait kuhusu mwenendo wa kusambaratika Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi

    Oct 25, 2017 04:19

    Amir wa Kuwait, Sheikh Jaber al-Ahmad al-Sabah amesema kuwa, kusambaratika Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi ni kuporomoka ngome ya mwisho ya ushirikiano wa Kiarabu.

  • Mbunge wa Kuwait akemea vikali ujumbe wa Israel katika mkutano wa mabunge + Video

    Mbunge wa Kuwait akemea vikali ujumbe wa Israel katika mkutano wa mabunge + Video

    Oct 19, 2017 04:08

    Spika wa Bunge la Kuwait ameukemea vikali ujumbe wa bunge la utawala wa Kizayuni wa Israel na kuulazimisha kuondoka katika mkutano wa kimataifa nchini Russia.

  • ADHRB: Saudia, Bahrain na Kuwait zinaongoza kwa kunyonga wapinzani

    ADHRB: Saudia, Bahrain na Kuwait zinaongoza kwa kunyonga wapinzani

    Oct 14, 2017 04:38

    Jumuiya ya Demokrasia na Haki za Binadamu ya Bahrain (ADHRB) imetangaza kuwa, hukumu za vifo dhidi ya wapinzani zimeongezeka sana katika nchi tatu za Saudi Arabia, Bahrain na Kuwait.

  • Kuwait yakadhibisha madai ya Reuters dhidi ya Iran

    Kuwait yakadhibisha madai ya Reuters dhidi ya Iran

    Aug 02, 2017 22:03

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Kuwait imetoa taarifa ikikadhibisha madai ya shirika la habari la Reuters kwamba Iran inatumia maji ya Kuwait kutuma silaha kwa harakati ya Ansarullah ya Yemen.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS