-
ADHRB: Saudia, Bahrain na Kuwait zinaongoza kwa kunyonga wapinzani
Oct 14, 2017 04:38Jumuiya ya Demokrasia na Haki za Binadamu ya Bahrain (ADHRB) imetangaza kuwa, hukumu za vifo dhidi ya wapinzani zimeongezeka sana katika nchi tatu za Saudi Arabia, Bahrain na Kuwait.
-
Kuwait yakadhibisha madai ya Reuters dhidi ya Iran
Aug 02, 2017 22:03Wizara ya Mambo ya Nje ya Kuwait imetoa taarifa ikikadhibisha madai ya shirika la habari la Reuters kwamba Iran inatumia maji ya Kuwait kutuma silaha kwa harakati ya Ansarullah ya Yemen.
-
Kupunguzwa wanadiplomasia wa Iran; mchezo wa Kuwait katika uwanja wa Saudia
Jul 21, 2017 08:34Baada ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Kuwait kuchukua uamuzi wa kupunguza idadi ya wanadiplomasia wa Jamhuri ya Kiislamu nchini humo, balozi mdogo wa nchi hiyo mjini Tehran ameitwa katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran na kufahamishwa kuwa serikali ya Iran pia ina haki ya kuchukua hatua kama hiyo dhidi ya Kuwait.
-
Jumatano, Julai 19, 2017
Jul 18, 2017 21:56Leo ni Jumatano tarehe 24 Mfunguo Mosi Shawwal 1438 Hijria sawa na Julai 19, 2017 Milaadia.
-
Jumatatu tarehe 19 Juni, 2017
Jun 19, 2017 11:42Leo ni Jumatatu tarehe 24 Ramadhani 1438 Hijria, sawa na tarehe 19 Juni, 2017.
-
Iran yaendelea kufanya mashauriano kuhusu matukio yaliyojiri katika eneo
Jun 05, 2017 23:43Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Muhammad Javad Zarif, amefanya mazungumzo kwa njia ya simu na mawaziri wa mambo ya nje wa Kuwait, Qatar, Lebanon, Algeria na Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya kuhusiana na matukio yanayoendelea kujiri katika eneo.
-
Spika wa Bunge Kuwait: Israel inapaswa kutengwa kimataifa
Mar 23, 2017 11:45Spika wa Bunge la Kuwait, Marzouq Al-Ghanim, amelaani siasa za kibaguzi za utawala haramu wa Israel na kusisitiza udharura wa kutengwa utawala huo katika Jumuiya ya Kimataifa ya Mabunge.
-
Jumamosi, Februari 25, 2017
Feb 24, 2017 23:06Leo ni Jumamosi tarehe 27 Mfunguo Nane Jamad al-Awwal 1438 Hijria sawa na tarehe 25 Februari 2017 Miladia.
-
Rais wa Iran na Amir wa Kuwait wasisitiza ulazima wa umoja wa nchi za eneo
Feb 16, 2017 01:15Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Amir wa Kuwait wamesisitiza umuhimu wa umoja na mshikamano wa nchi jirani na za Kiislamu hasa kwa kuzingatia hali ya hivi sasa Mashariki ya Kati.
-
Rouhani: Iran inataka kuboresha uhusiano na eneo zima
Feb 15, 2017 04:34Rais wa Iran amesema kuwa nchi hii inataka kuboresha uhusiano katika eneo zima la Ghuba ya Uajemi na kwamba lengo la mwisho la Tehran ni kuona amani na uthabiti zaidi inakuwepo katika eneo hili na nchi zote zinastawi.