-
Rouhani: Nguvu za Iran ni mwega wa usalama na uthabiti wa eneo
Jan 26, 2017 00:14Rais Hassan Rouhani amesema nguvu za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni mwega wa usalama na uthabiti wa eneo.
-
Takwimu zilizozusha taharuki; Kuwait ina walimu wanne tu wa Fizikia
Jan 25, 2017 03:55Mkuu wa kamati ya bajeti katika bunge la Kuwait, Adnan Abdulsamad ametahadhrisha kuwa hivi sasa kuna walimu wanne tu nchini humo wanaofundisha somo la Fizikia na kusisitiza kuwa idadi hiyo haikubaliki kwa namna yoyote.
-
Wapinzani nchini Kuwait washinda karibu nusu ya viti vya Bunge
Nov 27, 2016 07:04Wapinzani nchini Kuwait wameshinda karibu nusu ya viti vya Bunge la nchi hiyo kufuatia matokeo yaliyotangazwa leo.
-
Kikao cha nne cha viongozi wa Kiarabu na Kiafrika na changamoto zake
Nov 25, 2016 02:29Kikao cha nne cha pamoja baina ya viongozi wa Kiarabu na Kiafrika kimefanyika katika anga ya kushadidi tofauti na mivutano ya kisiasa baina ya pande mbili.
-
Bunge la Kuwait lavunjwa baada ya serikali kujiuzulu
Oct 16, 2016 10:29Mfalme wa Kuwait amelivunja bunge la nchi hiyo punde baada ya serikali kujizulu.