-
Kuanza tena uchunguzi kuhusu mlipuko wa bandari ya Beirut
Jan 23, 2023 22:53Duru za habari za Lebanon zimetangaza kuwa hakimu anayechunguza kesi ya mlipuko uliotokea mwaka 2020 katika bandari ya Beirut ameamua kuanzisha tena uchunguzi wa kesi hiyo.
-
Bunge la Lebanon lakwama kwa mara ya 11 kumchagua Rais mpya
Jan 19, 2023 23:16Bunge la Lebanon jana lilikwama tena kumchagua Rais mpya wa nchi hiyo na kupelekea mkwamo wa kumchagua kiongozi wa juu zaidi nchini humo kuendelea kushuhudiwa.
-
Sababu za umuhimu wa safari ya Amir-Abdollahian nchini Lebanon
Jan 14, 2023 22:52Hossein Amirabdollahian, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kuzungumza na Abdallah Bou Habib, Waziri mwenzake wa Mambo ya Nje wa Lebanon katika safari yake mjini Beirut na kusisitiza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran daima itaendelea kuwa rafiki mwaminifu na wa kutegemewa wa Lebanon.
-
Lebanon yapongeza misaada, uungaji mkono wa Iran
Jan 14, 2023 00:20Waziri wa Mambo ya Nje wa Lebanon, Abdullah Bou Habib amesifu na kupongeza misaada na uungaji mkono wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wa taifa hilo la Kiarabu.
-
Mchezaji tenisi ya mezani Mlebanon agoma kucheza na Mzayuni; aiunga mkono Palestina
Nov 26, 2022 04:23Nyota chipukizi wa mchezo wa tenisi ya mezani raia wa Lebanon amejiondoa katika mashindano ya Kombe la Dunia ya Tenisi ya Mezani Kwa vijana Chipukizi (WTT) baada ya kupangwa kumenyana na mchezaji kutoka Israel (Palestina inayokaliwa kwa mabavu).
-
Jumanne tarehe 22 Novemba 2022
Nov 21, 2022 22:50Lei ni tarehe 27 Rabiulthani 1444 Hijria sawa na Novemba 22 mwaka 2022.
-
Kombe la Dunia; Vijana wa Kiarabu wakataa kuzungumza na wanahabari wa Israel
Nov 21, 2022 07:55Mashabiki wa soka wa nchi za Kiarabu wamekataa kuzungumza na waandishi wa habari wa mashirika ya utawala haramu wa Israel nchini Qatar, kunakofanyika fainali za Kombe la Dunia za mwaka huu 2022; kuonyesha upinzani wao wa kuanzishwa uhusiano wa kawaida na utawala huo bandia unaokalia kwa mabavu ardhi za Palestina.
-
Nguvu za Muqawama; sababu kuu ya kutiwa saini makubalino ya mipaka ya baharini
Nov 10, 2022 05:20Hivi karibuni, Lebanon na utawala wa Kizayuni wa Israel zilitiliana saini makubaliano ya mpaka wa baharini kwa upatanishi wa Marekani. Hivi sasa lakini Benjamin Netanyahu anadai kuwa hatoheshimu makubaliao hayo.
-
Walebanon wataka kutimuliwa balozi wa Saudi Arabia mjini Beirut
Nov 02, 2022 10:09Wananchi wa Lebanon wametoa mwito wa kutimuliwa nchini humo balozi wa Saudi Arabia wakimtuhumu kwamba, amekuwa akiingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo.
-
Hizbullah: Saudia na Marekani zinakwamisha uchaguzi wa Rais wa Lebanon
Oct 25, 2022 07:29Afisa mwandamizi wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema balozi za Saudi Arabia na Marekani jijini Beirut zimekula njama na kuweka vizingiti vya kila aina ili kukwamisha uchaguzi wa rais, huku ikiwa imesalia wiki moja tu kabla ya kumalizika muhula wa Rais Michel Aoun wa nchi hiyo.