-
Najib Miqati: Serikali ijayo ya Lebanon itatatua suala la mipaka na umeme
Jun 29, 2022 07:44Waziri Mkuu wa Lebanon aliyechaguliwa kwa mara ya nne katika wadhifa huo na kupewa jukumu la kuunda baraza la mawaziri amesema kuwa, serikali mpya ya nchi hiyo italipatia ufumbuzi suala la kuianisha mipaka ya baharini kati ya nchi hiyo na utawala wa Kizayuni na kadhia ya umeme.
-
Hatua ya Israel kupora nishati ya Lebanon kwa mtazamo wa Sayyid Hassan Nasrallah
Jun 11, 2022 10:14Sayyid Hassan Nasrallah, ametoa hutuba kuhusu hatua ya utawala wa Kizayuni ya kupora utajiri wa nishati ya Lebanon ambapo amebainisha nukta kadhaa kuhusu kadhia hiyo.
-
Nabih Berri: Hatutanyamazia kimya uvamizi wa Israel dhidi ya mamlaka ya majini ya Lebanon
Jun 06, 2022 10:05Spika wa Bunge la Lebanon ameashiria hujuma ya utawala haramu wa kizayuni wa Israel dhidi ya mamlaka ya baharini ya nchi hiyo ya Kiarabu katika Bahari ya Mediterania na kusisitiza kuwa, katuu Lerbanon haiwezi kunyamazia kimya hatua na hujuma hizo.
-
Yaliyojiri katika kikao cha kwanza cha Bunge la Lebanon
Jun 03, 2022 02:41Kikao cha kwanza cha bunge la Lebanon kimefanyika kwa kuchaguliwa Spika na Naibu Spika wa bunge hilo.
-
Afisa usalama wa Saudia akutwa na kilo 18 za vidonge vya kulevya uwanja wa ndege wa Beirut, Lebanon
May 31, 2022 03:11Afisa mmoja wa usalama wa Saudi Arabia amekutwa na kilo 18 za vidonge vya kulevya aina ya captagon katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Beirut, Lebanon.
-
Hujjatul Islam Kazem Seddiqi : Muqawama wa Lebanon ulivunja pembe ya Wamarekani
May 27, 2022 11:10Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran ametoa pongezi kwa mnasaba wa maadhimisho ya miaka 22 ya ushindi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon dhidi Wazayuni na kusema, Wazayuni walionja ladha chungu ya kwanza ya kushindwa baada ya kuondoka kwa madhila huko kusini mwa Lebanon.
-
Tathmini ya uchaguzi wa Lebanon kwa mtazamo wa Sayyid Hassan Nasrullah
May 20, 2022 09:08Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa chama cha Hizbullah cha nchini Lebanon, juzi usiku alitoa hutuba akibainisha tathmini yake kuhusu matokeo ya uchaguzi wa hivi karibu wa bunge la nchi hiyo.
-
Matokeo ya karibuni ya uhesabuji kura za awali katika uchaguzi wa bunge Lebanon
May 16, 2022 07:37Ripota wa televisheni ya al Aalam ametangaza kuwa, Harakati ya Amal inayoongozwa na Nabih Berri Spika wa Bunge la Lebanon imetangaza baada ya kujulikana matokeo ya awali ya uhesabuji kura kwamba, hadi sasa imeshinda viti 17 bungeni huku Harakati ya Muqawama ya nchi hiyo Hizbullah pia ikishinda viti 23 hadi sasa.
-
Ukosoaji wa Sayyid Nasrullah kwa wanaoziandama silaha za muqawama badala ya matatizo ya uchumi, katika kampeni za uchaguzi wa Lebanon
May 11, 2022 10:42Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrullah, amesema kuhusu matokeo ya uchunguzi wa maoni uliofanywa na vituo kadhaa vya utafiti kwamba dukuduku la akthari ya watu wa Lebanon si silaha za Muqawama bali ni hali zao za maisha.
-
Nasrallah: Watu wa Lebanon hawapingi Hizbullah kumiliki silaha
May 10, 2022 04:33Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrallah ameashiria uchunguzi wa maoni wa hivi karibuni na kusema tatizo la waliowengi nchini Lebanon si silaha za Hizbullah au Muqawama bali ni hali ya maisha.