Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Lebanon

  • Nasrullah: Saudia imependekeza kuipatia Syria mabilioni ya dola ivunje uhusiano wake na Iran

    Nasrullah: Saudia imependekeza kuipatia Syria mabilioni ya dola ivunje uhusiano wake na Iran

    Mar 27, 2018 12:32

    Katibu Mkuu wa harakati ya muqawama ya Lebanon Hizbullah amesema utawala wa Aal Saud uliieleza serikali ya Syria kwamba uko tayari kuacha kuyaunga mkono makundi ya kigaidi yanayotenda jinai na kuifisidi nchi hiyo na kuipatia serikali hiyo ya Damascus mamia ya mabilioni ya dola kwa ajili ya kuijenga upya Syria ikiwa nchi hiyo itakuwa tayari kuvunja uhusiano wake na Iran.

  • Hizbullah: Wanaowaua raia wa Yemen, hao ndio Mahitler wa zama hizi

    Hizbullah: Wanaowaua raia wa Yemen, hao ndio Mahitler wa zama hizi

    Mar 17, 2018 12:27

    Naibu Mkuu wa Baraza Kuu la Utendaji la Hizbullah ya Lebanon amesema, anayehusika na jinai dhidi ya wanawake na watoto wa Yemen, huyo ndiye Hitler wa zama hizi; si Iran ambayo imezisaidia Iraq na Syria kukabiliana na kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh.

  • Lebanon kuongeza idadi ya askari katika mpaka wa ardhi zinazokaliwa na Israel

    Lebanon kuongeza idadi ya askari katika mpaka wa ardhi zinazokaliwa na Israel

    Mar 16, 2018 04:14

    Waziri Mkuu wa Lebanon Sa'ad Hariri amesema nchi yake itaongeza idadi ya wanajeshi katika eneo la mpaka wake na ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Hizbullah: Saudia na Marekani zinaingilia uchaguzi wa Lebanon

    Hizbullah: Saudia na Marekani zinaingilia uchaguzi wa Lebanon

    Mar 08, 2018 12:33

    Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa Saudi Arabia na Marekani zinakula njama ya kuingilia uchaguzi wa Bunge la nchi hiyo unaotazamiwa kufanyika mwezi Mei mwaka huu.

  • Saudia yatoa masharti saba ili iwe na uhusiano mzuri tena na Saad Hariri

    Saudia yatoa masharti saba ili iwe na uhusiano mzuri tena na Saad Hariri

    Mar 05, 2018 12:56

    Gazeti la Ad-Diyar linalochapishwa nchini Lebanon limeandika kuwa Saudi Arabia imetoa masharti saba kwa waziri mkuu wa nchi hiyo Saad Hariri ili uhusiano wa Riyadh na kiongozi huyo urejee tena katika hali yake ya awali.

  • Michel Aoun: Lebanon iko tayari kujilinda iwapo itashambuliwa na Israel

    Michel Aoun: Lebanon iko tayari kujilinda iwapo itashambuliwa na Israel

    Feb 26, 2018 23:21

    Rais wa Lebanon amesisitiza kuwa nchi hiyo imejiandaa kikamilifu kujilinda iwapo itashambuliwa na Israel.

  • Indhari ya Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon kwa njama za Marekani

    Indhari ya Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon kwa njama za Marekani

    Feb 26, 2018 03:44

    Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Hizbullah ya Lebanon ameashiria alipokuwa akihutubia katika mji wa Baalabek juu ya kushindwa mipango ya Marekani na washirika wake katika Mashariki ya Kati na kusambaratishwa kundi la kigaidi la Daesh na kusema kuwa, hii leo tunapaswa kukusanya mafanikio yetu ambapo kubwa zaidi katika hayo ni uungaji mkono unaopata muqawama.

  • Kiongozi wa Hizbullah: Walebanon wasiwapigie kura wanasiasa wanaopata himaya ya Marekani

    Kiongozi wa Hizbullah: Walebanon wasiwapigie kura wanasiasa wanaopata himaya ya Marekani

    Feb 25, 2018 04:32

    Kiongozi wa Harakati ya Hizbullah ametoa wito kwa wananchi wa Lebanon kutowapigia kura wagombea wanaopata himaya ya Marekani katika uchaguzi ujao wa bunge huku akionya kuwa wanasiasa kama hao wataikabidhi nchi kwa Marekani.

  • Jeshi la Lebanon: Tutamia nguvu zote kuukabili uvamizi wa Israel

    Jeshi la Lebanon: Tutamia nguvu zote kuukabili uvamizi wa Israel

    Feb 21, 2018 04:00

    Jeshi la Lebanon limeutahadharisha utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya kuanzisha vita vipya dhidi ya nchi hiyo na kusisitiza kuwa litatumia mbinu na uwezo wake wote kuzima uvamizi tarajiwa.

  • Sayyid Nasrullah alipongeza jeshi la Syria kwa kutungua ndege ya kivita ya Israel

    Sayyid Nasrullah alipongeza jeshi la Syria kwa kutungua ndege ya kivita ya Israel

    Feb 17, 2018 03:56

    Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amelipongea jeshi la Syria kwa kutungua ndege ya kijeshi aina ya F-16 ya utawala haramu wa Israel na kuitaja hatua hiyo kuwa ni mafanikio makubwa ya kijeshi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS