-
Sisitizo la Lebanon kwa nchi za Kiarabu la kuishinikiza kidiplomasia Marekani
Jan 05, 2018 04:44Kufuatia uamuzi wa Rais Donald Trump wa Marekkani dhidi ya Beitul-Muqaddas, Spika wa Bunge la Lebanon amesisitiza juu ya ulazima wa kufungwa balozi za nchi za Kiarabu nchini Marekani.
-
Saudi Arabia ilimdhalilisha Waziri Mkuu wa Lebanon, Saad Hariri
Dec 25, 2017 04:39Saudi Arabia ilimdhalilisha vibaya sana Waziri Mkuu wa Lebanon Saad Hariri katika safari yake ya hivi karibuni mjini Riyadh wakati alipolazimishwa kusoma taarifa ya kujiuzulu mbele ya televisheni.
-
Maandamano dhidi ya Marekani na Israel nchini Lebanon na hotuba muhimu ya Sayyid Hassan Nasrullah
Dec 12, 2017 09:35Maandamano ya kuitetea Beitul-Muqaddas yalifanyika alasiri ya jana katika viunga vya kusini mwa Beirut mji mkuu wa Lebanon na kuhudhuriwa na maelfu ya wananchi na wawakilishi wa vyama mbalimbali vya kisiasa.
-
Lebanon yazitaka nchi za Kiarabu ziiwekee Marekani vikwazo
Dec 10, 2017 03:36Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Lebanon amezitaka nchi za Kiarabu ziiwekee Marekani vikwazo vya kiuchumi kutokana na hatua ya Rais Donald Trump wa nchi hiyo kuitangaza Baytul Muqaddas kuwa eti ni mji mkuu wa Israel.
-
Rais wa Lebanon: Mgogoro uliozuka baada ya kujiuzulu Hariri umemalizika
Dec 02, 2017 23:13Rais Michel Aoun wa Lebanon amesema: mgogoro uliojitokeza baada ya Saad Hariri kutangaza kujiuzulu uwaziri mkuu umemalizika.
-
Israel: Tunapanga kumuua Nasrullah katika vita vijavyo dhidi ya Lebanon
Nov 28, 2017 04:16Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limetishia kwamba Sayyid Hasssan Nasrullah, kiongozi wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon yupo kwenye shabaha ya kuuawa katika vita vijavyo vya Tel Aviv dhidi ya nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Indhari ya Lebanon kwa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu
Nov 27, 2017 10:18Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Lebanon ameamwandikia barua Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) akimwambia kwamba, umoja huo unapaswa kufungamana na makubaliano ya Waarabu ambayo yalitofautisha baina ya muqawama na ugaidi.
-
Guterres atahadharisha kuhusu hatua ya Israel ya kuendelea kukiuka anga ya Lebanon
Nov 26, 2017 04:12Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha kuhusu kuongezeka vitendo vya kukiuka anga ya Lebanon vinavyofanywa na ndege za kivita za utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Lebanon na Syria katika mkondo wa kuimarisha uhusiano
Nov 25, 2017 02:38Saad Zakhia, balozi mpya wa Lebanon nchini Syria alionana na Rais Bashar al Assad siku ya Alkhamisi na kukabidhi hati zake za utambulisho.
-
Hariri arejea Lebanon, ombi lake la kujiuzulu lasimamishwa, akutana na Rais Aoun
Nov 22, 2017 23:56Saad Hariri, Waziri Mkuu wa Lebanon amesimamisha kwa muda ombi lake la kutaka kujiuzulu wadhifa wake huo baada ya kukutana na kufanya mazungumzo na Rais Michel Aoun mjini Beirut.