-
Lebanon yazitaka nchi za Kiarabu ziiwekee Marekani vikwazo
Dec 10, 2017 03:36Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Lebanon amezitaka nchi za Kiarabu ziiwekee Marekani vikwazo vya kiuchumi kutokana na hatua ya Rais Donald Trump wa nchi hiyo kuitangaza Baytul Muqaddas kuwa eti ni mji mkuu wa Israel.
-
Rais wa Lebanon: Mgogoro uliozuka baada ya kujiuzulu Hariri umemalizika
Dec 02, 2017 23:13Rais Michel Aoun wa Lebanon amesema: mgogoro uliojitokeza baada ya Saad Hariri kutangaza kujiuzulu uwaziri mkuu umemalizika.
-
Israel: Tunapanga kumuua Nasrullah katika vita vijavyo dhidi ya Lebanon
Nov 28, 2017 04:16Jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel limetishia kwamba Sayyid Hasssan Nasrullah, kiongozi wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon yupo kwenye shabaha ya kuuawa katika vita vijavyo vya Tel Aviv dhidi ya nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Indhari ya Lebanon kwa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu
Nov 27, 2017 10:18Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Lebanon ameamwandikia barua Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) akimwambia kwamba, umoja huo unapaswa kufungamana na makubaliano ya Waarabu ambayo yalitofautisha baina ya muqawama na ugaidi.
-
Guterres atahadharisha kuhusu hatua ya Israel ya kuendelea kukiuka anga ya Lebanon
Nov 26, 2017 04:12Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha kuhusu kuongezeka vitendo vya kukiuka anga ya Lebanon vinavyofanywa na ndege za kivita za utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Lebanon na Syria katika mkondo wa kuimarisha uhusiano
Nov 25, 2017 02:38Saad Zakhia, balozi mpya wa Lebanon nchini Syria alionana na Rais Bashar al Assad siku ya Alkhamisi na kukabidhi hati zake za utambulisho.
-
Hariri arejea Lebanon, ombi lake la kujiuzulu lasimamishwa, akutana na Rais Aoun
Nov 22, 2017 23:56Saad Hariri, Waziri Mkuu wa Lebanon amesimamisha kwa muda ombi lake la kutaka kujiuzulu wadhifa wake huo baada ya kukutana na kufanya mazungumzo na Rais Michel Aoun mjini Beirut.
-
Jumatano, 22 Novemba, 2017
Nov 22, 2017 00:50Leo ni Jumatano tarehe 3 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1439 Hijria sawa na tarehe 22 Novemba mwaka 2017.
-
Jeshi la Lebanon lawekwa katika hali ya tahadhari kutokana na chokochoko za Israel
Nov 21, 2017 23:34Mkuu wa Jeshi la Lebanon amewataka wanajeshi wa nchi hiyo kuwa katika hali ya tahadhari hususan katika maeneo ya mpaka wa kusini, ili kuzima chokochoko zozote zinazoweza kuanzishwa na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Lebanon na makundi ya muqawama ya Palestina yapinga taarifa ya Arab League dhidi ya Hizbullah
Nov 20, 2017 04:17Waziri wa Mambo ya Nje wa Lebanon amelalamikia taarifa hewa na isiyo na msingi iliyotolewa na Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) dhidi ya harakati ya muqawama ya nchi hiyo Hizbullah.