-
Mkuu wa majeshi Libya na wenzake wafariki katika ajali ya ndege, serikali yatangaza mambolezo ya siku 3
Dec 24, 2025 06:19Waziri Mkuu wa Libya Abdulhamid Dbeibeh ametangaza kuwa Mkuu wa Majeshi Luteni Jenerali Mohammad Ali Ahmed al-Haddad na maafisa wengine wanne waandamizi wamefariki dunia katika ajali ya ndege iliyotokea wakati walipokuwa wakirejea Libya kutoka kwenye ziara rasmi nchini Uturuki.
-
Jumatano, 24 Disemba, 2025
Dec 24, 2025 02:36Leo ni Jumatano tarehe 3 Rajab 1447 Hijria mwafaka na tarehe 24 Disemba 2025.
-
Pakistan kumuuzia silaha Haftar wa Libya za dola bilioni 4 zikiwemo ndege za kivita za China
Dec 23, 2025 11:39Shirika la habari la Reuters limeripoti kuwa, Pakistan imesaini makubaliano yenye thamani ya zaidi ya dola bilioni 4 ya kuuza zana za kijeshi, ikiwa ni pamoja na ndege za kivita zilizoundwa na nchi hiyo kwa kushirikiana na China, kwa kundi liitwalo Jeshi la Taifa la Libya (LNA)LNA linaloongozwa na Jenerali Khalifa Haftar, mmoja wa wababe wakuu wa kivita nchini humo.
-
Mjumbe wa UN: Hali ya usalama bado ni tete katika mji mkuu wa Libya,Tripoli
Dec 21, 2025 02:36Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa anayehusika na masuala ya Libya amesema kuwa hali ya usalama huko Tripoli imeboreka kwa kiasi fulani kufuatia mipango mipya ya usalama, hata hivyo ametahadharisha kuwa ukosefu wa usalama unaendelea kushuhudiwa katika mji huo mkuu na katika mikoa ya magharibi mwa Libya.
-
Libya: Tutawatendea wakimbizi wa Sudan kama Walibya, watapatiwa huduma za skuli na hospitali
Dec 03, 2025 10:54Serikali ya Libya imetangaza kuwa itaongeza kasi ya kuwarejesha makwao wahamiaji wasio halali wa Kiafrika wa nchi za chini ya Jangwa la Sahara, lakini imesema, kwa upande wa wakimbizi wa Sudan watachukuliwa kama Walibya na kuruhusiwa kupata huduma za skuli na hospitali.
-
UNHCR: Karibu wakimbizi 61 wa Sudan wamefariki dunia katika ajali ya boti Libya
Sep 18, 2025 07:23Boti iliyokuwa ikiwasafirisha wahamiaji 74 ilipatwa na maafa katika pwani ya Libya, na kusababisha vifo vya wahamiaji 61. Taarifa hii imetolewa na Kamisheni Kuu ya Wakimbizi ya Umoja wa Mataifa( UNHCR).
-
Ulaghai wa watawala wa Magharibi; Gaddafi alivyodanganywa na Sarkozy
Sep 05, 2025 02:18Moja ya kesi mashuhuri za ulaghai wa watawala wa nchi za Magharibi ni udanganyifu uliofanywa na Nicolas Sarkozy, rais wa zamani wa Ufaransa dhidi ya Muammar Gaddafi, dikteta wa zamani wa Libya.
-
Pigo jingine kwa Mpango wa Abraham; Kwa nini Libya inapinga uhusiano wa kawaida na Israel?
Aug 26, 2025 12:03Serikali ya umoja wa kitaifa ya Libya imekataa nchi hiyo kuwa na uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Trump apanga kuwahamishia Libya Wapalestina milioni 1 wa Gaza
May 17, 2025 10:29Imefichuka kuwa, maafisa wakuu wa serikali ya Rais wa Marekani, Donald Trump wanashughulikia mpango wa kuhamisha takriban nusu ya wakazi milioni 2.2 wa Ukanda wa Gaza uliozingirwa na kuwapeleka hadi Libya.
-
Serikali ya Umoja wa Kitaifa Libya: Utulivu umerejea Tripoli
May 14, 2025 02:45Serikali ya Umoja wa Kitaifa yenye makao yake makuu mjini Tripoli (GNU) ilisema jana Jumanne kuwa "imehitimisha" operesheni ya kijeshi katika mji mkuu huo, kufuatia usiku wa mapigano yaliyosababishwa na kuripotiwa mauaji ya kamanda mkuu wa usalama.