-
Libya yataka kufutwa uanachama wa utawala wa Israel katika Umoja wa Mataifa
Dec 03, 2024 12:15Libya imetaka kufutwa uanachama wa utawala wa Kizayuni katika Umoja wa Mataifa na kuhuishwa sura ya saba ya Hati ya Baraza la Usalama dhidi ya utawala huo unaotekeleza mauaji ya kimbari.
-
UN: Milipuko ya mabomu ya kutegwa ardhini imeuwa watu 16 Libya tangu kuanza mwaka huu
Nov 06, 2024 02:18Watu 16 wakiwemo watoto wadogo wamepoteza maisha huko Libya tangu kuanza mwaka huu wa 2024 kufuatia milipuko ya mabomu ya kutegwa ardhini na masalia ya zana za vita ambazo hazikulipuka.
-
Mvua kubwa yauwa watu 2 na kujeruhi 40 katika mji wa Sabha, Libya
Sep 16, 2024 02:33Takriban watu wawili wamepoteza maisha na wengine 40 kujeruhiwa kutokana na mvua kubwa iliyonyesha katika mji wa Sabha, kusini mwa Libya jana Jumapili.
-
Jumapili, Mosi Septemba, 2024
Sep 01, 2024 02:19Leo ni Jumapili 27 Mfunguo Tano Safar 1446 Hijria mwafaka na Septemba Mosi 2024 Miiladia.
-
Saddam Haftar ateuliwa kuwa mkuu wa jeshi la Libya
Jun 17, 2024 03:22Saddam Haftar mtoto wa Khalifa Haftar mbabe wa kivita nchini Liibya ameteuliwa kuwa mkuu wa jeshi la nchi hiyo.
-
Ethiopia yapitisha muswada unaoruhusu harakati iliyopigwa marufuku ya TPLF kuwa chama cha siasa
Jun 05, 2024 07:08Bunge la Ethiopia limefanya mabadiliko makubwa ya kisiasa kwa kupitisha muswada wa sheria unaoruhusu Harakati ya Ukombozi ya Watu wa Tigray (TPLF), ambayo hapo awali ilipigwa marufuku kwa kuendesha vita dhidi ya serikali ya shirikisho, kujiandikisha upya katika Bodi ya Taifa ya Uchaguzi ya Ethiopia (NEBE) ili kuwa chama cha siasa.
-
Umeme wazimwa, viwanja vya ndege vyafungwa Nigeria baada ya wafanyakazi kugoma
Jun 04, 2024 07:16Shughuli muhimu zimesita nchini Ngeria baada ya umeme kukatika na viwanja vya ndege vikubwa kufungwa, kufuatia hatua ya vyama vikubwa zaidi vya wafanyakazi kuanzisha mgomo wa kudai nyongeza ya mishahara kutokana na ughali mkubwa wa maisha kuwahi kushuhudiwa nchini humo kwa miongo kadhaa.
-
Libya yajiunga kwenye kesi ya nchi kadhaa dhidi ya utawala wa Kizayuni
Jun 01, 2024 07:49Mwakilishi wa Libya katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) amesema kuwa; mahakama hiyo Umoja wa Mataifa (UN) imekubali ombi la Tripoli la kujiunga kwenye kesi ya Afrika Kusini dhidi ya utawala wa Kizayuni.
-
Maiti 65 za wahajiri zagunduliwa katika kaburi la umati Libya
Mar 23, 2024 07:50Maafisa wa Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) wameripoti kuwa wamegundua miili ya watu 65 iliyokuwa imezikwa kwenye kaburi la umati nchini Libya.
-
Makubaliano ya viongozi wa Libya ya kuunda serikali moja mpya
Mar 13, 2024 07:38Kuendelea mgogoro nchini Libya na kuwa vigumu suala la kufanyika uchaguzi nchini humo hatimaye kumepelekea viongozi wa Libya kukubaliana kuunda serikali moja ambayo itakuwa na jukumu la kusimamia uchaguzi nchini humo.