-
Mjumbe wa UN ataka kuimarishwa hadhi ya wanawake nchini Libya
Mar 09, 2025 03:13Hanna Serwaa Tetteh, mwakilishi maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Libya ambaye pia ni mkuu wa Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini humo UNSMIL ametoa mwito wa kuinuliwa hadhi ya wanawake nchini Libya.
-
Jumatatu, 17 Februari, 2025
Feb 16, 2025 23:03Leo ni Jumatatu 18 Shaaban 1446 Hijria sawa na 17 Februari 2025.
-
Waziri Mkuu wa Italia achunguzwa kwa kumuachia huru mshukiwa wa ICC
Jan 29, 2025 07:00Waziri Mkuu wa Italia, Giorgia Meloni amewekwa chini ya uchunguzi wa mahakama kufuatia uamuzi wa serikali yake wa kumwachilia huru afisa wa polisi wa Libya anayesakwa na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC.
-
OPEC: Mchango wa nishati ya Libya ni muhimu kwa masoko ya kimataifa
Jan 20, 2025 07:40Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi Zinazouza Nje Mafuta kwa Wingi (OPEC) amezungumzia nafasi muhimu ya Libya katika soko la nishati duniani, na kusisitiza kuwa maendeleo nchini humo yana mfungamano muhimu na sekta ya kimataifa ya mafuta.
-
Jumanne, 24 Disemba, 2024
Dec 23, 2024 23:16Leo ni Jumanne tarehe 22 Mfunguo Tisa Jamadithani 1446 Hijria mwafaka na tarehe 24 Disemba 2024.
-
Libya yataka kufutwa uanachama wa utawala wa Israel katika Umoja wa Mataifa
Dec 03, 2024 08:45Libya imetaka kufutwa uanachama wa utawala wa Kizayuni katika Umoja wa Mataifa na kuhuishwa sura ya saba ya Hati ya Baraza la Usalama dhidi ya utawala huo unaotekeleza mauaji ya kimbari.
-
UN: Milipuko ya mabomu ya kutegwa ardhini imeuwa watu 16 Libya tangu kuanza mwaka huu
Nov 05, 2024 22:48Watu 16 wakiwemo watoto wadogo wamepoteza maisha huko Libya tangu kuanza mwaka huu wa 2024 kufuatia milipuko ya mabomu ya kutegwa ardhini na masalia ya zana za vita ambazo hazikulipuka.
-
Mvua kubwa yauwa watu 2 na kujeruhi 40 katika mji wa Sabha, Libya
Sep 15, 2024 23:03Takriban watu wawili wamepoteza maisha na wengine 40 kujeruhiwa kutokana na mvua kubwa iliyonyesha katika mji wa Sabha, kusini mwa Libya jana Jumapili.
-
Jumapili, Mosi Septemba, 2024
Aug 31, 2024 22:49Leo ni Jumapili 27 Mfunguo Tano Safar 1446 Hijria mwafaka na Septemba Mosi 2024 Miiladia.
-
Saddam Haftar ateuliwa kuwa mkuu wa jeshi la Libya
Jun 16, 2024 23:52Saddam Haftar mtoto wa Khalifa Haftar mbabe wa kivita nchini Liibya ameteuliwa kuwa mkuu wa jeshi la nchi hiyo.