-
Mahudhurio ya Iran katika Klabu ya Kimataifa ya Nyuklia
Sep 17, 2016 09:16Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (IAEO) Ali Akbar Salehi amehutubia kongamano la kila mwaka la Klabu ya Kimataifa ya Nyuklia mjini London, Uingereza akisisitzia udharura wa kuwepo ushirikiano katika masuala ya teknolojia ya nyuklia.
-
Magaidi wa Daesh watishia kuishambulia Uingereza
Jul 27, 2016 14:07Kundi la kigaidi la Daesh limetishia kuwa London itakuwa mlengwa wa mashambulizi ya kundi hilo baada ya magaidi hao kutekeleza shambulio jingine katika kanisa moja huko Normandy kaskazini mwa Ufaransa.
-
Misikiti London yapokea vitisho kutoka magaidi wa mrengo wa kulia
Jul 10, 2016 03:40Misikiti kadhaa mjini London Uingereza imepokea vitisho vya kigaidi kutoka kwa makundi yanayoaminika kuwa ya wabaguzi wa mrengo wa kulia huku vitendo vya chuki dhidi ya Uislamu vikiongezeka nchini humo.
-
Wanaharakati Uingereza waandamana dhidi ya Rais wa Nigeria, wataka kuachiwa Sh. Zakzaky
May 13, 2016 07:51Makundi ya waharakati wa kutetea haki za binadamu yamefanya maandamano katika mji mkuu wa Uingereza London kulalamikia dhuluma na ukandamizaji unaofanywa na vyombo vya usalama vya Nigeria dhidi Waislamu wa nchi hiyo.
-
Mabasi ya London yana mabango ya 'Subhan Allah' katika Kampeni ya Mwezi wa Ramadhani
May 11, 2016 04:17Shirika moja la kutoa misaada nchini Uingereza limeanzisha kampeni ya matangazo yenye mabango ya 'Subhan Allah' kwa ajili ya kushajiisha watu watoe misaada katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.