-
Jumapili, tarehe 17 Septemba, 2023
Sep 17, 2023 04:39Leo ni Jumapili tarehe Mosi Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1445 Hijria sawa na Septemba 17 mwaka 2023.
-
Lugha ya Kifarsi inafunzwa katika vyuo vikuu 200 duniani
Apr 24, 2018 03:16Lugha ya Kifarsi, ambayo ni lugha rasmi na ya taifa nchini Iran, hivi sasa inafunzwa katika zaidi ya vyuo vikuu 200 duniani.
-
Mabaharia 26 waliotekwa nyara Somalia miaka 5 iliyopita waachiliwa huru
Oct 23, 2016 08:09Mabaharia wapatao 26 wa Asia waliokuwa wakishikiliwa mateka na maharamia wa Somalia yapata miaka mitano sasa wameachiliwa huru.
-
Wenger atimiza miaka 20 Arsenal; asema wachezaji wa Afrika wamemfaa sana katika soka
Sep 30, 2016 13:01Meneja wa Arsenal Arsene Wenger amesema kuwa, wachezaji kutoka nchi za Afrika wamekuwa wenye umuhimu na mchango mkubwa katika taaluma yake ya kufundisha soka..