Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

luteka - maneva ya kijeshi

  • Luteka ya kijeshi Iran yakamilika kwa kufanyiwa majaribio kombora la S-200

    Luteka ya kijeshi Iran yakamilika kwa kufanyiwa majaribio kombora la S-200

    Dec 29, 2016 02:37

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imefanyia majaribio kwa mafanikio kombora la masafa marefu la nchi kavu kuelekea angani la S-200, katika siku ya mwisho ya luteka ya kijeshi iliyofanyika kusini mwa nchi jana Jumatano.

  • Mazoezi makubwa ya kijeshi yaanza kusini mwa Iran

    Mazoezi makubwa ya kijeshi yaanza kusini mwa Iran

    Dec 26, 2016 04:29

    Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo yanaanza mazoezi makubwa katika eneo la kusini mwa nchi.

  • Maneva ya kijeshi; wenzo wa Israel wa kuwafukuza Wapalestina kutoka katika ardhi zao

    Maneva ya kijeshi; wenzo wa Israel wa kuwafukuza Wapalestina kutoka katika ardhi zao

    Dec 21, 2016 03:52

    Maneva ya kijeshi ya utawala wa Kizayuni wa Israel yalianza Jumatatu ya juzi katika eneo la al-Aghwar kwa lengo la kuwafukuza Wapalestina zaidi kutoka katika eneo hilo lililoko kaskazini mwa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.

  • Misri na Jordan zafanya luteka ya pamoja mjini Akaba

    Misri na Jordan zafanya luteka ya pamoja mjini Akaba

    Nov 06, 2016 07:47

    Misri na Jordan zimeanza kufanya luteka ya pamoja katika mji wa bandari wa Aqaba, kusini magharibi mwa Jordan, katika juhudi za kumarisha ushirikiano wa kijeshi kati ya nchi mbili hizo.

  • Jeshi la Iran lazionya meli za Saudia zisikaribie maji yake

    Jeshi la Iran lazionya meli za Saudia zisikaribie maji yake

    Oct 06, 2016 04:41

    Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran IRGC limetoa onyo kali kwa manowari za Saudi Arabia zinazofanya mazoezi ya kijeshi katika Ghuba ya Uajemi, Ghuba ya Oman na Lango Bahari la Hormuz, dhidi ya kukaribia maji ya nchi hii.

  • Siasa za nyuso mbili za Marekani na majaribio ya nyuklia ya Korea Kaskazini

    Siasa za nyuso mbili za Marekani na majaribio ya nyuklia ya Korea Kaskazini

    Sep 11, 2016 06:07

    Rais Barack Obama wa Marekani ameonesha kukasirishwa sana na hatua ya Korea Kaskazini ya kufanya majaribio ya tano ya nyuklia, huku viongozi wa Pyongyang wakisema kuwa, wamefanya majaribio hayo ili kujibu siasa za kiuadui za Marekani na waitifaki wake dhidi ya Korea Kaskazini.

  • Iran yafanyia majaribio makombora ya Neze’at-10 kwenye luteka ya 'Baitul Muqaddas 28'

    Iran yafanyia majaribio makombora ya Neze’at-10 kwenye luteka ya 'Baitul Muqaddas 28'

    May 22, 2016 16:21

    Jeshi la Nchi Kavu la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limefanyia majaribio makombora mawili yaliyopewa jina la Neze'at-10 katika mazoezi ya kijeshi yanayoendelea katikati mwa nchi.

  • Mazoezi ya kijeshi kusini mashariki mwa Iran

    Mazoezi ya kijeshi kusini mashariki mwa Iran

    Apr 13, 2016 04:18

    Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (IRGC) linaendelea na mazoezi makubwa ya kijeshi katika eneo la kusini mashariki mwa nchi.

Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS