Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

maandamano

  • Wanigeria waandamana kutaka Zakzaky apewe paspoti yake

    Wanigeria waandamana kutaka Zakzaky apewe paspoti yake

    Apr 12, 2022 05:57

    Wananchi wa Nigeria wamefanya maandamano katika mji mkuu wa nchi hiyo Abuja, kuishinikiza serikali ya nchi hiyo impe Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo pasipoti yake ya kusafiria iliyotwaa.

  • Macron na Le Pen waingia duru ya pili uchaguzi wa rais Ufaransa, ushiriki umepungua

    Macron na Le Pen waingia duru ya pili uchaguzi wa rais Ufaransa, ushiriki umepungua

    Apr 11, 2022 07:20

    Rais anayemaliza muda wake wa Ufaransa, Emmanuel Macron na mgombea mwenye siasa kali za mrengo wa kulia wa , Marine Le Pen wameongoza matokeo ya duru ya kwanza ya uchaguzi wa rais wa Ufaransa uliofanyika jana Jumapili, na wakahamia duru ya pili kati ya hizi. uchaguzi uliopangwa kufanyika Aprili 24.

  • Wayemen wafanya maandamano ya kulaani uvamizi na vita dhidi ya nchi yao

    Wayemen wafanya maandamano ya kulaani uvamizi na vita dhidi ya nchi yao

    Mar 26, 2022 22:01

    Wananchi wa Yemen katika mkoa wa Saada jana Jumamosi walimiminika mabarabarani kushiriki maandamano ya kupinga na kulaani moto wa vita uliowashwa na Saudi Arabia na washirika wake dhidi ya nchi hiyo maskini kuanzia mwezi Machi 2015 na kuendelea hadi sasa.

  • Maandamano ya Wasudani milioni moja kufanyika leo, wanapinga utawala wa kijeshi

    Maandamano ya Wasudani milioni moja kufanyika leo, wanapinga utawala wa kijeshi

    Mar 21, 2022 04:17

    Makundi yanayopinga utawala wa kijeshi nchini Sudan yameitisha maandamano ya watu milioni moja leo Jumatatu, ambayo wamesema yataelekea katika ikulu ya rais katikati mwa mji mkuu, Khartoum. Maandamano ya leo ya Wasudani yanafuatia yale yaliyofanyika usiku wa kuamkia leo katika miji mingine kadhaa ya Sudan.

  • Waturuki wabeba picha za Shahidi Soleimani wakiandamana dhidi ya Israel

    Waturuki wabeba picha za Shahidi Soleimani wakiandamana dhidi ya Israel

    Mar 12, 2022 09:54

    Wananchi wa Uturuki jana Ijumaa, kwa mara nyingine tena walimiminika mabarabarani katika maandamano ya kulaani ziara tata ya rais wa utawala wa Kizayuni wa Israel nchini mwao.

  • Wasudan waandamana tena kupinga utawala wa kijeshi, 50 wajeruhiwa

    Wasudan waandamana tena kupinga utawala wa kijeshi, 50 wajeruhiwa

    Mar 04, 2022 08:47

    Zaidi ya watu 50 wamejeruhiwa katika maandamano ya kupinga utawala wa kijeshi katika mji mkuu wa Sudan, Khartoum na miji mingine mikubwa ya nchi hiyo.

  • Walebanoni waandamana kuunga mkono operesheni ya kijeshi ya Russia nchini Ukraine

    Walebanoni waandamana kuunga mkono operesheni ya kijeshi ya Russia nchini Ukraine

    Mar 04, 2022 04:34

    Wakazi wa mji mkuu wa Lebanon, Beirut wamefanya maandamano wakishirikiana na Warussia wanaoishi nchini humo wakiunga mkono operesheni ya Jeshi la Russia dhidi ya "mafashisti wa Ukraine".

  • Waislamu Nigeria waandamana kulaani mauaji ya kimbari ya utawala wa Saudi Arabia nchini Yemen

    Waislamu Nigeria waandamana kulaani mauaji ya kimbari ya utawala wa Saudi Arabia nchini Yemen

    Feb 19, 2022 04:13

    Waislamu nchini Nigeria wakiitikia wito wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria wameandamana katika mji mkuu wa nchi hiyo Abuja, kulaani jinai za muungano vamizi unaoongozwa na utawala wa Saudi Arabia ambao umeendelea kutenda jinai na mauaji ya kimbari nchini Yemen.

  • 28 wajeruhiwa katika maandamano ya Wasudan ya kupinga utawala wa kijeshi

    28 wajeruhiwa katika maandamano ya Wasudan ya kupinga utawala wa kijeshi

    Feb 18, 2022 08:02

    Watu wasiopungua 28 wamejeruhiwa katika maandamano ya kupinga utawala wa kijeshi katika mji mkuu wa Sudan, Khartoum.

  • Waafghani waandamana kulaani wizi wa mabilioni uliofanywa na Marekani

    Waafghani waandamana kulaani wizi wa mabilioni uliofanywa na Marekani

    Feb 13, 2022 09:15

    Wananchi wa Afghanistan wamefanya maandamano katika mji mkuu wa nchi hiyo, Kabul, kulalamikia kitendo cha hatua ya Marekani ya kupora mabilioni ya dola za Afghanistan na kuzitumia kuwalipa wanaodai fidia kutokana na mashambulizi ya Septamba 11 mwaka 2001.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS