-
Wabunge wawili na maseneta wawili wafariki dunia Madagascar kutokana na corona
Jul 13, 2020 13:02Wabunge wawili, seneta mmoja na naibu seneta wa Madagascar wameaga dunia kutokana na maambukizi ya virusi vya corona.
-
Madagascar yaendelea kugawa dawa ya Corona licha ya kuwepo shaka na upinzani juu yake
May 10, 2020 04:11Licha ya kuwepo shaka na upinzani dhidi ya dawa inayodaiwa kutibu ugonjwa wa Covid-19, serikali ya Madagascar inaendelea kugawa dawa hiyo.
-
SAUTI, Makundi ya wabeba silaha nchini CAR yatishia kuisusa serikali ya umoja wa kitaifa ya nchi hiyo na kushika tena silaha
Apr 27, 2020 16:28Makundi ya wabeba silaha nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati yametishia kujiondoa katika serikali ya umoja wa kitaifa iliyoundwa yapata mwaka mmoja uliopita.
-
Maelfu wapanga foleni kupewa kinywaji 'kinachotibu' corona Madagascar
Apr 24, 2020 02:32Maelfu ya wananchi wa Madagascar jana Alkhamisi walionekana kwenye foleni ndefu za kupokea kile kinachotajwa kuwa kinywaji malumu cha asili, cha kutibu ugonjwa wa Covid-19 unaojulikana kwa jina maarufu la corona.
-
SAUTI, Shirika la Msalaba Mwekundu lawataka wahisani duniani kutuma misaada yao ili kuwasaidia waathirika wa mapigano ya hivi karibuni
Jan 29, 2020 16:07Shirika la Msalaba Mwekundu nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati limewataka wahisani duniani kutuma misaada yao kwenda shirika hilo ili liweze kuwahudumia watu walioathirika na mapigano ya hivi karibuni nchini humo.
-
SAUTI, Wafuasi wa kiongozi wa waasi nchini CAR waijia juu serikali wakiitaka isimpandishe kizimbani bosi wao
Nov 28, 2019 16:43Wafuasi wa Abdullah Miskin, Kiongozi wa moja ya makundi mashuhuri nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati wameijia juu serikali ya Bangui wakiitaka kutomrejesha nchini humo kiongozi wao huo akiwa chini ya ulinzi.
-
Jumatano, tarehe 26 Juni, 2019
Jun 26, 2019 02:48Leo ni Jumatano tarehe 22 Shawwal 1440 Hijria sawa na Juni 26 mwaka 2019.
-
SAUTI, Wakazi wa mji wa Obo nchini CAR waishi kwa wasi wasi mkubwa kutokana na mashambulizi ya magaidi wa Kikristo
Apr 10, 2019 16:56Hali ya usalama katika mji wa Obo ulioko kusini mashariki mwa Jamhuri ya Afrika ya Kati imezidi kuwa mbaya kufuatia waasi wa kundi la kigaidi la Lord's Resistance Army (LRA) kuvamia mji huo na kufanya jinai ikiwemo kuiba vyakula vya wakazi wake.
-
Mahakama ya Katiba Madagascar yathibitisha ushindi wa Andry Rajoelina
Jan 09, 2019 04:41Mahakama ya Katiba ya Madagascar imethibitisha ushindi wa Andry Rajoelina na kutupilia mbali madai ya kuweko udanganyifu yaliyowasilisha na hasimu wake Marc Ravalomanana.
-
Wapinzani Madagascar wataka kura za uchaguzi wa rais zihesabiwe tena
Dec 30, 2018 03:20Wafuasi wa kambi ya upinzani nchini Madagascar wamefanya maandamano katika mji mkuu wa nchi hiyo, Antananarivo wakitaka kuhesabiwa tena kura za uchaguzi wa rais uliofanyika hivi karibuni nchini humo.