Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Madagascar

  • SAUTI, Shirika la Msalaba Mwekundu lawataka wahisani duniani kutuma misaada yao ili kuwasaidia waathirika wa mapigano ya hivi karibuni

    SAUTI, Shirika la Msalaba Mwekundu lawataka wahisani duniani kutuma misaada yao ili kuwasaidia waathirika wa mapigano ya hivi karibuni

    Jan 29, 2020 12:37

    Shirika la Msalaba Mwekundu nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati limewataka wahisani duniani kutuma misaada yao kwenda shirika hilo ili liweze kuwahudumia watu walioathirika na mapigano ya hivi karibuni nchini humo.

  • SAUTI, Wafuasi wa kiongozi wa waasi nchini CAR waijia juu serikali wakiitaka isimpandishe kizimbani bosi wao

    SAUTI, Wafuasi wa kiongozi wa waasi nchini CAR waijia juu serikali wakiitaka isimpandishe kizimbani bosi wao

    Nov 28, 2019 13:13

    Wafuasi wa Abdullah Miskin, Kiongozi wa moja ya makundi mashuhuri nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati wameijia juu serikali ya Bangui wakiitaka kutomrejesha nchini humo kiongozi wao huo akiwa chini ya ulinzi.

  • Jumatano, tarehe 26 Juni, 2019

    Jumatano, tarehe 26 Juni, 2019

    Jun 25, 2019 22:18

    Leo ni Jumatano tarehe 22 Shawwal 1440 Hijria sawa na Juni 26 mwaka 2019.

  • SAUTI, Wakazi wa mji wa Obo nchini CAR waishi kwa wasi wasi mkubwa kutokana na mashambulizi ya magaidi wa Kikristo

    SAUTI, Wakazi wa mji wa Obo nchini CAR waishi kwa wasi wasi mkubwa kutokana na mashambulizi ya magaidi wa Kikristo

    Apr 10, 2019 12:26

    Hali ya usalama katika mji wa Obo ulioko kusini mashariki mwa Jamhuri ya Afrika ya Kati imezidi kuwa mbaya kufuatia waasi wa kundi la kigaidi la Lord's Resistance Army (LRA) kuvamia mji huo na kufanya jinai ikiwemo kuiba vyakula vya wakazi wake.

  • Mahakama ya Katiba Madagascar yathibitisha ushindi wa Andry Rajoelina

    Mahakama ya Katiba Madagascar yathibitisha ushindi wa Andry Rajoelina

    Jan 09, 2019 01:11

    Mahakama ya Katiba ya Madagascar imethibitisha ushindi wa Andry Rajoelina na kutupilia mbali madai ya kuweko udanganyifu yaliyowasilisha na hasimu wake Marc Ravalomanana.

  • Wapinzani Madagascar wataka kura za uchaguzi wa rais zihesabiwe tena

    Wapinzani Madagascar wataka kura za uchaguzi wa rais zihesabiwe tena

    Dec 29, 2018 23:50

    Wafuasi wa kambi ya upinzani nchini Madagascar wamefanya maandamano katika mji mkuu wa nchi hiyo, Antananarivo wakitaka kuhesabiwa tena kura za uchaguzi wa rais uliofanyika hivi karibuni nchini humo.

  • Uchaguzi Madagascar; Ravalomanana apinga ushindi wa Rajoelina mahakamani

    Uchaguzi Madagascar; Ravalomanana apinga ushindi wa Rajoelina mahakamani

    Dec 28, 2018 12:32

    Siku moja baada ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Madagascar kutangaza matokeo ya muda yaliyoonesha kuwa rais wa zamani wa nchi hiyo Andry Rajoelina ndiye aliyepata kura nyingi zaidi katika duru ya pili ya uchaguzi wa rais iliyofanyika Disemba 19, mpinzani wake mkuu Marc Ravalomanana ameenda mahakamani kupinga matokeo hayo.

  • Marais 2 wa zamani wajitangaza washindi wa duru ya pili ya uchaguzi Madagascar

    Marais 2 wa zamani wajitangaza washindi wa duru ya pili ya uchaguzi Madagascar

    Dec 20, 2018 11:28

    Wagombea wawili wa duru ya pili ya uchaguzi wa rais nchini Madagascar, ambao wamewahi kuwa marais wa kisiwa hicho, Marc Ravalomanana na Andry Rajoelina, wamejitangaza washindi wa uchaguzi huo uliofanyika jana, licha ya Tume ya Uchaguzi kusema kuwa imehesabu asilimia tano tu ya kura kufikia sasa.

  • Duru ya pili ya uchaguzi wa Rais Madagascar yafanyika leo, marais 2 wa zamani wachuana

    Duru ya pili ya uchaguzi wa Rais Madagascar yafanyika leo, marais 2 wa zamani wachuana

    Dec 19, 2018 04:06

    Wananchi wa Madagascar waliotimiza masharti ya kupiga kura mapema leo wameelekea katika masanduku ya kupigia kura kushiriki duru ya pili ya uchaguzi wa rais, unaowachuanisha marais wawili wa zamani wa kisiwa hicho, Marc Ravalomanana na Andry Rajoelina.

  • Marais wawili wa zamani Madagascar waingia duru ya pili ya uchaguzi

    Marais wawili wa zamani Madagascar waingia duru ya pili ya uchaguzi

    Nov 18, 2018 03:55

    Marais wawili wa zamani wa Madagascar, Andry Rajoelina na Marc Ravalomanana wamepata kura za kutosha katika uchaguzi wa rais ambazo zitawawezesha kuchuana katika duru ya pili mwezi ujao.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS