-
EU: Uchaguzi wa rais Madagascar ni wenye itibari
Nov 10, 2018 04:43Waangalizi wa Umoja wa Ulaya katika uchaguzi wa rais uliomalizikka nchini Madagascar wamesema kuwa ukiukaji ulioshuhudiwa katika duru ya kwanza ya uchaguzi huo ulikuwa mdogo sana.
-
Kiongozi wa zamani Madagascar aongoza matokeo ya awali uchaguzi wa rais
Nov 08, 2018 04:56Zoezi la kuhesabu kura katika uchaguzi wa rais limekuwa likiendelea mapema leo huko Madagascar huku kiongozi wa zamani wa nchi hiyo Andry Rajoelina akiongoza matokeo ya awali kwa mujibu wa kura zilizohesabiwa katika vituo vichache nchini humo.
-
Kampeni za uchaguzi wa rais Madagascar zamalizika
Nov 05, 2018 12:01Wagombea urais Madagascar wamemaliza kampeni zao leo huku upigaji kura ukitazamiwa kufanyika Jumatano tarehe saba.
-
Amnesty: Watu 52 wameaga dunia wakiwa kizuizini Madagascar
Oct 23, 2018 10:00Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema watu 52 walifariki dunia katika mazingira ya kutatanisha wakiwa korokoroni wakisubiri kesi zao mwaka jana 2017 nchini Madagascar.
-
Rais wa Madagascar ajiuzulu ili kuwania urais mwezi Novemba
Sep 08, 2018 10:51Rais Hery Rajaonarimampianina wa Madagascar amejiuzulu, ili aweze kupata fursa ya kuwania urais kwa muhula wa pili mfululizo.
-
Rais wa sasa na wawili wa zamani wa Madagascar kugombea urais
Aug 18, 2018 23:39Rais wa sasa wa Madagascar na watangulizi wake wawili watachuana katika kinyang'anyiro cha kuwania kiti cha rais wa nchi hiyo katika uchaguzi uliopangwa kufanyika tarehe 7 Novemba.
-
Jumanne tarehe 26 Juni, 2018
Jun 26, 2018 10:02Leo ni Jumanne tarehe 12 Shawwal 1439 Hijria saw ana Juni 26, 2018.
-
Waziri Mkuu wa Madagascar atangaza kujiuzulu
Jun 04, 2018 09:58Waziri Mkuu wa Madagascar, Olivier Mahafaly Solonandrasana ametangaza kujiuzulu wadhifa wake leo Jumatatu, ikiwa ni katika kufuata agizo la mahakama la kutaka kuundwa serikali mpya ya muungano wa kitaifa kwa ajili ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa kisiasa unaoendelea kutokota katika kisiwa hicho.
-
Jeshi la Madagascar latishia 'kuzima mgogoro wa kisiasa'
Jun 01, 2018 09:16Waziri wa Ulinzi wa Madagascar ametishia kuwa, ikilazimu, jeshi la nchi hiyo litaingilia kati iwapo serikali na upinzani zitashindwa kuupatia ufumbuzi mgogoro wa kisiasa unaoshuhudiwa nchini humo kwa muda sasa.
-
Amri ya Mahakama ya Katiba ya Madagascar ya kubuniwa nchini serikali ya umoja wa kitaifa
May 26, 2018 08:25Mahakama ya Katiba ya Madagascar imetoa amri ya kubuniwa serikali mpya ya umoja wa kitaifa kwa ajili ya kumaliza mgogoro wa kisiasa wa nchi hiyo.