-
Mahakama ya Katiba Madagascar yaagiza kuundwa serikali ya muungano
May 26, 2018 03:29Mahakama ya Katiba nchini Madagascar imemuagiza Rais Hery Rajaonarimampianina wa nchi hiyo kuvunja serikali ya sasa na kuunda serikali ya muungano, kwa lengo la kutamatisha mgogoro wa kisiasa unaoshuhudiwa katika kisiwa hicho kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa.
-
Upinzani nchini Madagascar wakataa upatanishi wa UN
May 08, 2018 12:25Upinzani nchini Madagascar umepinga upatanishi wa Umoja wa Mataifa katika mgogoro unaoendelea kutokota katika kisiwa hicho cha kusini mashariki mwa Afrika.
-
Maadamano ya wananchi Madagascar yailazimu mahakama kuu kufuta sheria mpya ya uchaguzi
May 04, 2018 23:59Hatimaye Mahakama Kuu ya Katiba nchini Madagascar imefuta sehemu ya sheria mpya ya uchaguzi iliyoibua hivi karibuni ghasia na maandamano ya wananchi.
-
Maandamano dhidi ya rais wa Madagascar yanaendelea
Apr 28, 2018 11:46Zaidi ya wanaharakati 1,000 wanaoipinga serikali ya Madagascar wameendelea na maandamano yao kwa siku ya nane mfululizo wakimtaka rais wa nchi hiyo ajiuzulu.
-
Kambi ya upinzani Madagascar yamtaka rais wa nchi ajiuzulu
Apr 27, 2018 03:35Kambi ya upinzani nchini Madagascar imemtaka Rais na Waziri Mkuu wa nchi hiyo wajiuzulu na kusisitiza kwamba haitashiriki tena katika mazungumzo juu ya mgogoro wa kutunga sheria mpya ya uchaguzi.
-
Rais wa Madagascar asema wapinzani wanataka kumpindua
Apr 23, 2018 03:27Rais wa Madagascar amewaonya vikali wanasiasa wa upinzani wanaochochea kile anachokitaja kama njama za kumpindua madarakani na kusisitiza kuwa serikali itawachukulia hatua kali za kisheria.
-
Wapinzani waandamana Madagascar kupinga sheria mpya za uchaguzi
Apr 21, 2018 09:42Maelfu ya wapinzani nchini Madagascar wameandamana leo katika mji mkuu Antananarivo wakilalamikia sheria mpya za uchaguzi wa Rais zilizopasishwa na Bunge la nchi hiyo.
-
Watu 17 wafariki dunia katika tufani kali nchini Madagascar
Mar 19, 2018 03:43Kwa akali watu 17 wameripotiwa kupoteza maisha katika tufani kali nchini Madagascar.
-
Idadi ya walioaga dunia kwa kimbunga nchini Madagascar wafikia 51
Jan 15, 2018 11:01Idadi ya watu walioaga dunia kutokana na kimbunga kilichoiathiri Madagascar siku kumi zilizopita wameongezeka na kufikia 51, huku watu wengine 22 wakiwa hawajulikani walipo hadi sasa.
-
Kimbunga chaua makumi Madagascar, maelfu wakosa makazi
Jan 10, 2018 01:06Kimbunga kikali kilichoyakumba maeneo ya mashariki mwa nchi ya Madagascar kimeua watu wasiopungua 29 na kuwajeruhi wengine kadhaa.