Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Madagascar

  • Ugonjwa wa tauni wauwa watu 124 Madagascar; miji mikubwa yatajwa kuathirika zaidi

    Ugonjwa wa tauni wauwa watu 124 Madagascar; miji mikubwa yatajwa kuathirika zaidi

    Oct 25, 2017 12:05

    Ugonjwa wa tauni nchini Madagascar umeuwa watu 24 tangu mwezi Agosti mwaka huu, katika mripuko unaoonekana kuiathiri zaidi miji miwili mikubwa ya kisiwa hicho kinachopatikana katika Bahari ya Hindi. Hayo yameelezwa leo na maafisa husika wa Madagascar.

  • WHO: Watu 94 wameaga dunia kwa ugonjwa wa tauni nchini Madagascar

    WHO: Watu 94 wameaga dunia kwa ugonjwa wa tauni nchini Madagascar

    Oct 20, 2017 13:13

    Idadi ya vifo vilivyosababishwa na mlipuko wa ugonjwa wa tauni nchini Madagascar hadi sasa vimefikia 94 huku kesi nyingine za maambukizi ya ugonjwa huo zikiwa zaidi ya 1,100.

  • Indhari ya WHO kutokana na mripuko wa tauni iliyoua watu 24 Madagascar

    Indhari ya WHO kutokana na mripuko wa tauni iliyoua watu 24 Madagascar

    Oct 01, 2017 11:58

    Shirika la Afya Duniani WHO limeeleza wasi wasi wake kutokana na mripuko wa ugonjwa wa tauni ambao umeua makumi ya watu kufikia sasa nchini Madagascar.

  • Spika wa Bunge la Tanzania na wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar wakutana na Larijani

    Spika wa Bunge la Tanzania na wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar wakutana na Larijani

    Aug 04, 2017 22:11

    Maspika wa mabunge ya Tanzania na Madagascar na wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar wamekutana na kufanya mazungumzo katika nyakati tofauti na Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran.

  • 34 wafariki dunia katika ajali ya barabarani nchini Madagascar

    34 wafariki dunia katika ajali ya barabarani nchini Madagascar

    Aug 02, 2017 03:36

    Kwa akali watu 34 wamepoteza maisha katika ajali mbaya ya barabarani iliyotokea katika kisiwa cha Madagascar.

  • Wapinzani Madagascar wafanya maandamano licha ya marufuku ya polisi

    Wapinzani Madagascar wafanya maandamano licha ya marufuku ya polisi

    Jul 08, 2017 12:13

    Wafuasi wa kambi ya upinzani nchini Madagascar wamefanya maandamano leo katika mji mkuu wa nchi hiyo, Antananarivo licha ya maandamano hayo kupigwa marufuku na vyombo vya usalama.

  • Idadi ya Waislamu nchini Madagascar imeongezeka ndani ya miaka saba iliyopita

    Idadi ya Waislamu nchini Madagascar imeongezeka ndani ya miaka saba iliyopita

    Jun 04, 2017 10:48

    Jamii ya Waislamu nchini Madagascar imeongezeka zaidi katika kipindi cha miaka saba ya hivi karibuni.

  • Idadi ya waliouawa na kimbunga Madagascar yapindukia 50

    Idadi ya waliouawa na kimbunga Madagascar yapindukia 50

    Mar 12, 2017 01:04

    Idadi ya watu waliopoteza maisha kutokana na Kimbunga cha Enawo katika kisiwa cha Madagascar imepindukia watu 50.

  • Waliouawa kwa kimbunga Madagascar wafikia 38

    Waliouawa kwa kimbunga Madagascar wafikia 38

    Mar 11, 2017 10:49

    Watu wasiopungua 38 wameuawa kwa kimbunga cha "Enawo" kilichoikumba Madagascar wiki hii. Hayo yameelezwa na afisa wa Idara ya Kukabiliana na Majanga ya nchi hiyo.

  • Kimbunga, maporomoko ya ardhi vyaua watu 16 kisiwani Madagascar

    Kimbunga, maporomoko ya ardhi vyaua watu 16 kisiwani Madagascar

    Mar 10, 2017 10:36

    Kwa akali watu 16 wameaga dunia kufuatia maporomoko ya ardhi katika eneo la Vatomandry, mashariki mwa Madagascar.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS