-
Kimbunga chasababisha maafa na hasara kisiwani Madagascar
Mar 09, 2017 12:56Kimbunga cha Enawo kimesababisha vifo vya watu watano huku makumi ya maelfu ya wengine wakiachwa bila makao katika kisiwa cha Madagascar.
-
Nchi za jumuiya ya Francophone zasisitiza udharura wa kupambana na ugaidi
Nov 29, 2016 10:20Washiriki katika mkutano wa kimataifa wa 16 wa Jumuiya ya Nchi Zinazozungumza Kifaransa (Francophone) wametilia mkazo udharura wa kupambana na ugaidi na kuanzisha ulimwengu wenye amani na usalama.
-
Mkutano wa 16 wa Francophone waanza leo nchini Madagascar
Nov 26, 2016 12:30Mkutano wa 16 wa wanachama katika Jumuiya ya Nchi Zinazozungumza Kifaransa (Francophone) umeanza leo Jumamosi katika mji mkuu wa Madagascar, Antananarivo.
-
Shirika la Fao: Madagascar isaidiwe kukabiliana na hali mbaya ya uhaba wa chakula
Oct 28, 2016 01:16Shirika la Chakula na Kilimo Duniani (FAO) limetangaza kuwa, karibu watu laki nane na 50 elfu nchini Madagascar, wanakabiliwa na hali mbaya ya chakula.
-
Moto Madagascar wauwa watu 38, wakiwemo watoto 16
Jul 25, 2016 23:05Watu zaidi ya 36 wamefariki dunia wakiwemo watoto 16 baada ya moto kutokea katika nyumba moja katikati mwa Madagascar.
-
Ukame waendelea kuizonga Madagascar
Jul 23, 2016 22:22Serikali ya Madagascar imeendelea kukumbwa na mgogoro wa ukosefu wa chakula kutokana na hali ya ukame na ungezeko la jangwa ndani ya nchi hiyo.
-
Malumbano ya kisiasa Madagascar baada ya mripuko wa bomu
Jun 28, 2016 02:14Katika siku ya sherehe za kitaifa, nchini Madagascar, kulijiri mripuko wa bomu mjini Antananarivo, mji mkuu wa nchi hiyo na kusababisha makumi ya watu kuuawa na wengine kujeruhiwa.
-
Serikali na wapinzani wakabana koo Madagascar
Jun 27, 2016 11:33Serikali ya Madagascar na wapinzani wake wanatuhumiana kuhusika na mlipuko uliotokea katika mji mkuu wa nchi hiyo.
-
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kulihutubia Bunge la Madagascar leo
May 11, 2016 03:04Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anatazamiwa kulihutubia Bunge la Madagascar hii leo, kabla ya kukutana na kufanya mazungumzo na rais wa nchi hiyo.
-
Watu wenye silaha washambulia magharibi mwa Madagascar, waua na kujeruhi
Apr 27, 2016 02:55Watu wenye silaha wamefanya shambulizi magharibi mwa Madagascar na kuua watu wawili na kujeruhi wengine kadhaa katika eneo hilo.