-
Libya kuongeza kiwango cha uzalishaji mafuta
Apr 29, 2016 23:41Viongozi wa Libya wamekubaliana na mpango wa awamu tatu wa shirika la taifa la mafuta la nchi hiyo wa kuongeza uzalishaji wa bidhaa hiyo muhimu na kuufikisha katika kiwango cha kabla ya mwaka 2011.
-
Waasi wa Nigeria watishia kuhujumu vituo vya mafuta
Apr 20, 2016 10:12Waasi wa eneo lenye utajiri wa mafuta la Niger Delta kusini mwa Nigeria wametishia kwamba watazidisha mashambulizi yao dhidi mabomba na vituo vya uzalishaji mafuta ghafi ya petroli nchini humo.
-
Angola; nchi ya kwanza kwa kuzalisha mafuta barani Afrika
Apr 17, 2016 23:44Angola hivi sasa imekuwa nchi ya kwanza inayozalisha mafuta kwa wingi barani Afrika.
-
Ujenzi wa bomba la mafuta la Uganda, Tanzania yaipiku Kenya
Apr 16, 2016 11:36Uganda imeamua kujenga bomba la mafuta kupitia Tanzania badala ya Kenya.
-
Hifadhi ya mafuta ya Iran katika Ghuba ya Uajemi yafika mapipa bilioni 100
Apr 03, 2016 23:03Hifadhi ya mafuta ghafi ya petroli ya Iran katika Ghuba ya Uajemi imefikia mapipa bilioni 100.
-
Tarehe 29 Esfand, Siku ya Kutaifishwa Sekta ya Mafuta Iran
Mar 18, 2016 03:00Tarehe 29 Isfand mwaka 1329 Hijria Shamsia sawia na Machi 20 1950 ni moja ya siku zenye kukumbukwa katika historia ya mapambano ya taifa la Iran na madola ya kibeberu.
-
Buhari: Kutegemea mafuta kumevuruga uchumi wa Nigeria
Mar 06, 2016 03:42Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria amesema kutegemea kupita kiasi pato la mafuta ya petroli ni chanzo kikuu cha matatizo ya kiuchumi nchini humo.