-
Zakharova: Moscow itachapisha nyaraka za kuhusika nchi za Magharibi katika machafuko ya Russia
Feb 12, 2021 02:41Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Russia amesema kuwa, nchi hiyo ina azma ya kuzitumia jumuiya za kimataifa nyaraka na ushahidi wa kuhusika nchi za Magharibi katika machafuko na maandamano haramu katika miji mbalimbali ya nchi.
-
Yemen; maabara ya silaha zilizopigwa marufuku za Magharibi
Nov 16, 2020 07:02Abdul-Qadir Antar, mshauri wa Waziri Mkuu wa Serikali ya Wokovu wa Kitaifa ya Yemen amesema kuwa, nchi hiyo imegeuzwa kuwa maabara na mahapa pa kujaribia silaha zilizopigwa marufuku za Magharibi.
-
Kuvunjiwa heshima Mtume SAW na Magharibi; kulivyoanzia, sababu zake na msimamo wa Ulimwengu wa Kiislamu
Oct 31, 2020 08:04Kitendo cha jarida moja la Ufaransa na rais wa nchi hiyo Emmanuel Macron cha kumvunjia heshima Bwana Mtume Muhammad SAW kimekabiliwa na wimbi kubwa la hisia za uchungu katika Ulimwengu wa Kiislamu.
-
Indhari ya UN kuhusu hali mbaya ya Yemen na kuendelea jinai za Muungano wa Saudia kwa uungaji mkono wa Magharibi
Oct 21, 2020 06:18Mnamo mwezi Machi 2015, Saudi Arabia ikishirikiana na Imarati ilianzisha vita vya kidhalimu dhidi ya wananchi wa Yemen kupitia muungano wao wa pamoja wa kijeshi; na hadi sasa muungano huo vamizi umeshaua na kujeruhi makumi ya maelfu ya watu nchini humo.
-
Abdulmalik al-Houthi: Magharibi inawatumia wakufurishaji kuchafua sura ya Uislamu
Oct 20, 2020 02:34Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema Marekani, Ufaransa na nchi zingine za Magharibi ndio waungaji mkono wa mwanzo kabisa wa makundi ya ukufurishaji huko Syria, Yemen na katika nchi zingine za Kiislamu kwa sababu zinawatumia wakufurishaji hao kuchafua jina la dini tukufu ya Uislamu.
-
Madai ya kupewa sumu Navalny, kisingizio kipya cha Magharibi kwa ajili ya kuishinikiza Russia
Sep 04, 2020 07:22Umoja wa Ulaya na Marekani zimekuwa zikiishinikiza Russia kupitia njia ya kuingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo kwa kuwaunga mkono wapinzani wa serikali ya Moscow na kutumia madai ya kutetea haki za binadamu.
-
Juhudi za Pempeo kuiarifisha China kama tishio kwa nchi za Ulaya
Aug 14, 2020 02:51Tokea aingie madarakani mwezi Januari 2017, Rais Donald Trump wa Marekani amekuwa akitekeleza siasa kali na za uhasama dhidi ya China ambapo amekuwa akiendesha vita vya kisiasa, kibiashara na kiusalama dhidi ya nchi hiyo muhimu ya Asia.
-
Russia yazikosoa nchi za Magharibi kuhusu madai yao ya kutaka kuisaidia Syria
Jul 01, 2020 11:23Russia imekosoa mienendo inayokinzana ya nchi za Magharibi ya kuiwekea vikwazo vya uchumi Syria na wakati huo huo zinaitisha mkutano wa kukusanya misaada eti ya kibinadamu kwa ajili ya watu wa nchi hiyo.
-
Ukosoaji wa Putin kwa hatua za upande mmoja za Magharibi chini ya uongozi wa Marekani
Jun 30, 2020 02:33Njama za nchi za Magharibi za kutaka kuyatwisha mataifa mengine shabaha na malengo yake zimekumbwa na upinzani wa nchi nyingine duniani. Hasa ikitiliwa maanani kuwa nchi za Magharibi hususan Marekani siku zote zimekuwa zikitaka kuidhibiti dunia na kutwisha misimamo na hatua zake za upande mmoja duniani.
-
Azimio dhidi ya Syria na kura ya Veto ya Russia na China ya kulipinga
Dec 23, 2019 02:40Ushindi mtawalia wa jeshi la Syria na washirika wake umepelekea kurejea nyuma makundi ya kigaidi kwenye ngome zao za mwisho yaani katika mkoa wa Idlib.