-
Badala ya ubabe na unyonyaji wa Magharibi, Russia yataka kuamiliana na Afrika kwa msingi wa maslahi ya pande mbili
Oct 23, 2019 06:44Russia, ambayo ni moja ya madola makubwa duniani imeukosoa muelekeo na muamala wa Magharibi kwa bara la Afrika ambao siku zote huwa ni wa unyonyaji na utumiaji mabavu na badala yake inataka kustawisha uhusiano wake na nchi za bara hilo kwa msingi wa kuzingatia manufaa na maslahi ya pande zote mbili.
-
Kukiri Rais wa Ufaransa juu ya kufikia tamati ubeberu wa Magharibi duniani
Aug 29, 2019 04:51Kwa karne kadhaa Wamagharibi wametekeleza ubeberu katika uga wa kimataifa iwe ni katika kipindi cha ukoloni au katika zama za ubeberu; daima walifanya unyonyaji dhidi ya wananchi na mataifa mengine ya dunia.
-
Sergei Lavrov: Wamagharibi wameshindwa kutatua matatizo yao
Aug 16, 2019 02:29Sergei Lavrov, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Russia amesema kuwa, kiigizo cha Wamagharibi kilichosimama juu ya misingi ya uliberali kimethibitisha kushindwa kwao kutatua matatizo yao.
-
Uchochezi wa mitandao ya kijamii katika nchi zinazopinga sera za Marekani
Aug 13, 2019 08:12Katika kipindi chote cha utawala wa Rais Vladmir Putin nchini Russia Wamagharibi wamekuwa wakifanya kila wawezalo kuzusha ghasia na kuingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo. Nchi za Magharibi hususan Marekani, zimekuwa zikitumia zaidi propaganda chafu na vita vya kinafsi dhidi ya Russia na nchi nyingine zisizokubaliana na sera zao za kibeberu.
-
Ukosoaji wa Russia kwa utendaji wa Umoja wa Mataifa mkabala na jinai za magaidi nchini Syria
Aug 02, 2019 01:16Syria imekuwa ikikabiliwa na hali ya mchafukoge tangu mwakak 2011 na kisha ikatumbukia katika vita vya ndani baina ya serikali halali ya Rais Bashar al-Assad wa nchi hiyo na waungaji mkono wake kwa upande mmoja na makundi ya kigaidi yanayoungwa mkono na madola ya Magharibi na washirika wao wa Kiarabu kwa upande wa pili.
-
Ukosoaji mkali wa Papa juu ya nafasi ya Wamagharibi katika kuwaua raia wa nchi za Asia Magharibi
Apr 09, 2019 04:27Nchi za Magharibi kama vile Marekani, Uingereza, Ujerumani na Ufaransa ndio wauzaji wakubwa wa silaha kwa serikali za Asia Magharibi (Mashariki ya Kati) hususan washirika wa Magharibi katika eneo hilo kama vile wanachama wa Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi, Misri, Jordan, Saudia, Bahrain na utawala haramu wa Kizayuni.
-
Kufichuliwa misaada mipya ya madola ya Magharibi kwa magaidi wa Syria
Jan 23, 2019 06:12Valery Shkolnik, Msemaji wa Majeshi ya Russia nchini Syria ametangaza habari ya kugunduliwa ghala moja kubwa la silaha za magenge ya kigaidi katika mji wa Darayya huko Syria, ambapo sehemu kubwa ya silaha hizo zimetoka Marekani na nchi za Ulaya.
-
Wasiwasi wa kuongezeka misaada ya Magharibi kwa magaidi wa Syria
Dec 15, 2018 06:25Tangu mwaka 2011 yalipoanzishwa machafuko nchini Syria hadi hivi sasa, nchi za Magharibi hasa Marekani, Uingereza na Ufaransa pamoja na vibaraka wao baadhi ya nchi za Kiarabu zimekuwa zikiyaunga mkono kwa hali na mali magenge ya kigaidi kwa tamaa ya kuipindua serikali iliyoko madarakani kihalali nchini Syria.
-
Kukataliwa na madola ya Magharibi simulizi za Saudia kuhusu hekaya ya mauaji ya Khashoggi
Oct 22, 2018 03:05Moja ya matukio makubwa zaidi ya ukiukaji haki za binadamu kuwahi kufanywa na utawala wa Aal Saud ni la mauaji ya Jamal Khashoggi, mwandishi wa habari na mkosoaji maarufu wa utawala huo wa kifalme yaliyotokea ndani ya ubalozi wake mdogo ulioko mjini Istanbul, Uturuki.
-
Njama za kikundi cha Munafiqeen na uchochezi dhidi ya Iran
Oct 11, 2018 11:43Kukamatwa mwanadiplomasia wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Ubelgiji kwa tuhuma bandia za kushiriki kwake katika mpango wa kushambuliwa kikundi cha kigaidi cha Munafigeen katika mojawapo ya viunga vya Paris, mji mkuu wa Ufaransa, ni uchochezi mpya dhidi ya Iran.