Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Magharibi

  • Ukosoaji wa ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa dhidi ya vikwazo vya upande mmoja

    Ukosoaji wa ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa dhidi ya vikwazo vya upande mmoja

    Sep 16, 2018 07:19

    Ulimwengu wa magharibi ukiwa na shabaha ya kutwisha matakwa na kusukuma mbele gurudumu la malengo yake, daima umekuwa ukitumia wenzo wa vikwazo.

  • Kuongezeka mivutano baina ya Russia na Magharibi kuhusu tukio la Salisbury

    Kuongezeka mivutano baina ya Russia na Magharibi kuhusu tukio la Salisbury

    Sep 08, 2018 01:24

    Kuzushwa upya madai ya kupewa sumu ya kemikali, jasusi Wa zamani wa Russia, Sergei Skripal, na binti yake katika mji wa Salisbury, wa kusini mwa Uingereza mwezi Machi 2018, kumezua mzozo na mivutano mikubwa baina ya nchi za Magharibi na Russia.

  • Bashar al Ja'far: Nchi za Magharibi na Umoja wa Mataifa zimesahahu kupambana na ugaidi

    Bashar al Ja'far: Nchi za Magharibi na Umoja wa Mataifa zimesahahu kupambana na ugaidi

    Jun 28, 2018 07:49

    Mwakilishi wa Kudumu wa Syria katika Umoja wa Mataifa ametetea oparesheni zinazofanywa na jeshi la nchi yake dhidi ya magaidi kusini mwa nchi na kueleza kuwa nchi za Magharibi na Umoja wa Mataifa zimesahau kupambana dhidi ya ugaidi.

  • Matokeo mabaya ya siasa za Magharibi za kuunga mkono ugaidi na kubeba Ulaya hasara ya Euro bilioni 180

    Matokeo mabaya ya siasa za Magharibi za kuunga mkono ugaidi na kubeba Ulaya hasara ya Euro bilioni 180

    Jun 10, 2018 10:17

    Matokeo machungu ya siasa za Magharibi za kuunga mkono makundi ya kigaidi hususan katika eneo la Mashariki ya Kati, yameanza kuonekana pole pole hivi sasa.

  • Putin: Lengo la mashambulizi ya Magharibi lilikuwa kuwasaidia magaidi

    Putin: Lengo la mashambulizi ya Magharibi lilikuwa kuwasaidia magaidi

    Apr 25, 2018 14:02

    Rais wa Russia amelitaja shambulio la makombora la nchi za Magharibi huko Syria kuwa lilitekelezwa ili kuwasaidia magaidi.

  • Lavrov: Uhusiano wa Moscow na nchi za Magharibi ni mbaya zaidi kuliko ule wa kipindi cha Vita Baridi

    Lavrov: Uhusiano wa Moscow na nchi za Magharibi ni mbaya zaidi kuliko ule wa kipindi cha Vita Baridi

    Apr 17, 2018 03:21

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa mashambulizi yaliyofanywa na nchi kadhaa za Magharibi dhidi ya Syria yameharibu kabisa hali ya kuaminiana baina ya pande hizo mbili.

  • Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi 30 na sauti

    Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi 30 na sauti

    Apr 03, 2018 12:57

    Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 30 ya makala haya yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.

  • Lavrov: Uhusiano wetu na nchi za Magharibi ni mbaya zaidi kuliko kipindi cha vita baridi

    Lavrov: Uhusiano wetu na nchi za Magharibi ni mbaya zaidi kuliko kipindi cha vita baridi

    Apr 03, 2018 02:25

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa, hatua za Marekani na nchi za Magharibi, ndicho chanzo cha kuendelea kuzorota uhusiano kati ya mataifa hayo na Moscow.

  • Lavrov atoa onyo kali kwa nchi za Magharibi

    Lavrov atoa onyo kali kwa nchi za Magharibi

    Mar 28, 2018 06:50

    Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Russia amesema kuwa Moscow haitanyamaza kimya mbele ya hatua ya nchi za Magharibi ya kuwafukuza wanadiplomasia wa nchi hiyo.

  • Sudan Kusini yapinga sera za Magharibi za kuingilia mambo ya ndani ya nchi hiyo

    Sudan Kusini yapinga sera za Magharibi za kuingilia mambo ya ndani ya nchi hiyo

    Mar 06, 2018 17:16

    Serikali ya Sudan Kusini imepinga vikali sera za nchi za Magharibi za kuingilia mambo ya ndani ya nchi hiyo na kutahadharisha kuwa, mashinikizo ya nchi hizo hayawezi kusaidia mwenendo wa kurejesha amani huko Sudan Kusini.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS